Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege?

unaongelea ndege wakati mkulu ndege kwake ni daladala. haisaidii kupanda ndege kiafya,kiroho na kimwili. Ila umenikumbusha ile movie ya rain man ya tom cruise yule kaka ake akili mingi alikataa katu katu kupanda ndege kwasababu ya ajali kumbe mwenzetu unaona sifa
 
ahsante kwa kuweka wazi,kumbe ni movie.
 
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:

duh.. Hivi ni ndege ni zao gai vile?? Ukilipanda linakomaa baada ya mda gani vile? Hivi linavumilia ukame na magonjwa? Ni kma mahindi au maharage?? Au mtama??
 
kabla mie sijasema naomba kuuliza................katika hizo ndege na helikopta imo??..................... kuna wengine juzi waliokolewa wakati wa mafuriko kwa helikopta,.................... so nao wajihesabu kuwa walikwea pipa??.................
 
mkuu ndege si anasa tena kusema huwezi kupanda kama ilipokuwa mwanzo. Subiri rais atujengee international airport kule mwanza na mbeya na sijui wapi kwengine uone kama hatujapanda wote
 
katika hizo ndege na helikopta imo??..................... kuna wengine juzi waliokolewa wakati wa mafuriko kwa helikopta,.................... so nao wajihesabu kuwa walikwea pipa??.................

headkofta(helikopta) haimo,ila nao pia wana haki ya kujidai .:poa
 
Wengine hatuna pesa wala hatuna safari ambazo tunaweza kupanda ndege. . . . kama vipi gawa ticket na sie tukajivinjari mawinguni.
 
Wengine hatuna pesa wala hatuna safari ambazo tunaweza kupanda ndege. . . . kama vipi gawa ticket na sie tukajivinjari mawinguni.

mchelemchele sina nalilia sikukuu,sina uwezo huo dada yangu wa kuwagawia watu ticket.
 
teh teh................ JF bana!................... kumbe sometimes mafuruko nayo yanasaidia kupandisha watu chati eeeh??...................

ndio maana yake kama hujawahi kupanda headkofta ombea mafuriko yaje kwenu ili nawe uweze kujidai mwana wane.
 
Back
Top Bottom