Uchoyo, Wivu,Ubahili,chuki,Ubinafsi etc ni kazi ya nafsi,nafsi imeumbwa kujikurubisha na mambo yasiyopendeza,Nafs ni rafiki wa shetani,
Ukikosa kuidhibiti nafs yako maisha yanakosa mwelekeo. Just imagine unaweza ukawa unakula tena na mzazi au mke/me au mtoto wako alafu akatangulia kuchukua pande la nyama nono yaan ghafla unaweza kukuta roho inasononeka,hiyo ndio nafs
Yaan kwa ufupi ukitaka kugundua kuwa nafs yako iko salama au laah jichunguze ktk vitu vile unavyovipenda, mathalani mtu ana pea za viatu ishirini lakini ndugu akichukua pea moja mtu anasononeka.
Je
emmyta na
geniveros itokee watu wana shida ya mavazi upo tayari kutoa ktk nguo zile unazozipenda? Au ndio utatoa zile ambazo huna mapenzi nazo.
Sasa hiyo ndio nafsi yenyewe inapenda kujipendelea ni wajibu wetu kupambana nayo. Yukalifullahu nafsan illa Wus'haa