Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,974
- 24,504
[emoji135]Hakuna namnaa[emoji1]
My own brand!!
[emoji135]Hakuna namnaa[emoji1]
My own brand!!
Mahasidi ya aina hiyo nishakutana nayo sana...mtu anakuangalia kwa chuki mpaka unajishtukia yaani kama vile uliwahi kumlia chake kumbe hata kujuana hamjuani...Mungu atuepushe na shari zaoShetani nafsi zao wenyewee
My own brand!!
Nataka uache uchoyo uwe kama mimi...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unanizogoa bwana!!!!
My own brand!!
Watu wengine kutwa kucha kumchukia JPM utadhani akitoka madarakani hata wanaweza kupata kazi ya kuzibua vyoo vya ikulu kama wewe. geniveros muongeze na huyu ametuchoshaChuki udini ukabila na visasi ndio alivyonavyo huyu BABA BASHITE.
Swissme
ukute ulisubiria siti masaa matatu kituoni au umegeuka na gari .acha kabisaHii story mbona kila mtu anaitumia. Mtu unaona gari imejaa unapanda tu kutafuta huruma wakati gari zipo nyingi. Sio kila aliyekaa mzima,wengine wagonjwa ila huwezi jua kwa kumwangalia juu juu tu
Ni msongo wao wa kimawazo, mwingine anakupenda kiwivu ila hakwambii ndo sababuSalaam wanandugu naomba kuuliza,hivi hivi vitu vinasababishwa na nini?!!!
Chuki;Utakuta mtu anakua na chuki mbaya kwa binadamu mwenziwe bila sababu za msingi!Yaani anakuchukia tuu!hujamfanya lolote lile baya au zuri.
Mwingine hata kuongea hamjawahi ila anakuchia tu,mfano hata humu wapo anachukia fake I'd [emoji3] na ugomvi anamuanzishia kisa hakuna au walipishana kidogo!!
Unafiki sijui haswa tatizo ni nini ila kuna watu wanaona raha wenzao wakigombana au kutofautiana.Atafanya kila njia awachonganishe mzozane,msutane mradi yeye nafsi yake iridhike tu
Uchoyo;Kuna mijitu michoyo hapa duniani...mpk shetani anawashangaa..!.
Mtu mchoyo mpaka anaficha chakula uvunguni mwa kitanda au chooni mradi tu asigawe sijui hii hali inasababishwa na kitu gani?au kama ugonjwa sijajua tiba ni nini?
Ila wachoyo kwa kuombaaa...balaa!
Roho mbaya;Hawa ndo mwisho wa matatizo kuna watu wana mioyo migumu jamanii!!!kama wadudu...yaani atahakikisha anafanya fitna zote ili usifanikiwe au ukiwa na mafanikio kidogo yeye ananuna au hakusemeshi
Anatamani awe yy tu mwenye kufanikiwa baas wengine mumsujudie...!!!Sasa sijajua huu ni ugonjwa huu tiba ni nini ...!!!!Mtu anakua na roho nyeusi mpk anatamani kuona wenziwe wakiwa kama yeye maskini!!.
NB;Sisemi Mimi ni mkamilifu ila vingine vinazidi jamanii!
Kama ni ugonjwa basi hali ni mbaya sana!
My own brand!!
Very true.Na hata kuchangia uzi watu pia bado wana angalia sura nani katuma???
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi na sitakaa kumsapoti magu kwasababu ya UBAGUZI UDINI UKANDA CHUKI NA WIVU.Watu wengine kutwa kucha kumchukia JPM utadhani akitoka madarakani hata wanaweza kupata kazi ya kuzibua vyoo vya ikulu kama wewe. geniveros muongeze na huyu ametuchosha
Akitoka madarakani ndo bombadya itaachiwa teh teh tehWatu wengine kutwa kucha kumchukia JPM utadhani akitoka madarakani hata wanaweza kupata kazi ya kuzibua vyoo vya ikulu kama wewe. geniveros muongeze na huyu ametuchosha
So do ISiwezi na sitakaa kumsapoti magu kwasababu ya UBAGUZI UDINI UKANDA CHUKI NA WIVU.
SWISSME
Kweli dyadya hatujuani ya nini kutiana stress tupotezeane tu unanichukia hunijui sababu ya mambo ya jukwaaniHapa leo kila mmoja msafi.... Ila kumchukia usiyemjua ni kujiongezea maradhi tuu, hakuna sababu ya msingi kabisaa. Mtu akikuudhi mpotezee tuu, hupungukiwi na kitu. Kujifanya mjinga nako husaidia sanaa
Shangaa na wewe jamanii, ila kuna watu wana gubu balaaKweli dyadya hatujuani ya nini kutiana stress tupotezeane tu unanichukia hunijui sababu ya mambo ya jukwaani
Gubu si la nchi hii ujue ukiona mtu kakupotezea achana nae tu kwani ni lazima jaman me ndio sinaga mda we kujibembeleza kwa mtu hunijui sikujui tusiendelee kupeana stress zaidi nilizo nazo zinanitoshaShangaa na wewe jamanii, ila kuna watu wana gubu balaa