Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,890
- 14,601
Unaweza kufikiri chuki kumbe mwenzio ana mapenzi ya kisirani.Salaam wanandugu naomba kuuliza,hivi hivi vitu vinasababishwa na nini?!!!
Chuki;Utakuta mtu anakua na chuki mbaya kwa binadamu mwenziwe bila sababu za msingi!Yaani anakuchukia tuu!hujamfanya lolote lile baya au zuri.
Mwingine hata kuongea hamjawahi ila anakuchia tu,mfano hata humu wapo anachukia fake I'd [emoji3] na ugomvi anamuanzishia kisa hakuna au walipishana kidogo!!
Unafiki sijui haswa tatizo ni nini ila kuna watu wanaona raha wenzao wakigombana au kutofautiana.Atafanya kila njia awachonganishe mzozane,msutane mradi yeye nafsi yake iridhike tu
Uchoyo;Kuna mijitu michoyo hapa duniani...mpk shetani anawashangaa..!.
Mtu mchoyo mpaka anaficha chakula uvunguni mwa kitanda au chooni mradi tu asigawe sijui hii hali inasababishwa na kitu gani?au kama ugonjwa sijajua tiba ni nini?
Ila wachoyo kwa kuombaaa...balaa!
Roho mbaya;Hawa ndo mwisho wa matatizo kuna watu wana mioyo migumu jamanii!!!kama wadudu...yaani atahakikisha anafanya fitna zote ili usifanikiwe au ukiwa na mafanikio kidogo yeye ananuna au hakusemeshi
Anatamani awe yy tu mwenye kufanikiwa baas wengine mumsujudie...!!!Sasa sijajua huu ni ugonjwa huu tiba ni nini ...!!!!Mtu anakua na roho nyeusi mpk anatamani kuona wenziwe wakiwa kama yeye maskini!!.
NB;Sisemi Mimi ni mkamilifu ila vingine vinazidi jamanii!
Kama ni ugonjwa basi hali ni mbaya sana!
My own brand!!
mwingine kugombana ndiyo kunampandisha mahaba.
Huko Mara sehemu nyingine kuna wanawake wengine usipowapiga wanasema huwapendi.
Uchoyo kama chake ana haki ya kuwa mchoyo. Wahenga walisema cha mtu mavi.
Roho mbaya kama Magufuli wengine wana matatizo tangu utotoni, walikosa mapenzi ya wazazi, walikosa lishe bora ikaathiri ukuaji wa ubongo.
Hata wakipata nafasi ya kusoma Ph.D bado wanachagua Ph.D ya korosho kwa jinsi roho ilivyo ya korosho.
Kwa hiyo wasamehe tu.