Hivi inakuaje mtu unakua hivi?

Hivi inakuaje mtu unakua hivi?

Yani anayenichukia anajitafutia ugonjwa wa moyo. Maana hakuna kitu kibaya na kinachoumiza roho kama kumchukia mtu asiyejua unamchukia.
Jamani hizi za jf ni story tu tupendane.
 
Hapo kwenye uchoyo kuna dada wa kazi alikuwa anaficha vitumbua na mandazi hadi yanaota mavuzi anatupa ili mradi watu wasile
 
Hapa leo kila mmoja msafi.... Ila kumchukia usiyemjua ni kujiongezea maradhi tuu, hakuna sababu ya msingi kabisaa. Mtu akikuudhi mpotezee tuu, hupungukiwi na kitu. Kujifanya mjinga nako husaidia sanaa
 
Yani anayenichukia anajitafutia ugonjwa wa moyo. Maana hakuna kitu kibaya na kinachoumiza roho kama kumchukia mtu asiyejua unamchukia.
Jamani hizi za jf ni story tu tupendane.
Nilikuwa na mpango huo swahiba kumbe nitapata ugonjwa wa moyo eeee.

Ila huo mstari wa mwisho nimeupenda swahiba.
 
labda kati ya hao wenye chuki, kuna wengine waliteseka na kuteswa sana maishani mwao, so wanaona kila mtu mtu ni mbaya geniveros
 
Funguka tu unaficha unajikondesha bureee.
Unachukia fake ID[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Wakipata fursa ya kukujua si watajinyonga na udenda[emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sitaki mie ujue swahiba. Hebu tuishie hapo hapo bana.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hilo la kuchukia id fake lipo sana na limeanza kushamiri aisee hadi huwa naiogopa jf.

Saa nyingine chanzo ni hawa kaka zetu tunaocheka nao majukwaani.
Funguka kdgo inakuwaje yani?
Na kwanini yani?
 
Nimepitia vyote lakini sijaona wanafiki wakizungumziwa. Hakuna sumu mbaya sana kama mnafiki.
Kuna jamaa moja yuko kwenye yuko kwenye team yetu maarufu kama team popo / wahapahapa. jamaa ni mnafiki hatari, alafu anajifanya ni baunsa sana.......... wiki iliyopita nilimtolea uvivu mpaka sasa anisalimii
 
Hilo la kuchukia id fake lipo sana na limeanza kushamiri aisee hadi huwa naiogopa jf.

Saa nyingine chanzo ni hawa kaka zetu tunaocheka nao majukwaani.
Sasa unachukiaje I'd fake. .?!.
Au mtu anakutukanaa bila sababu

My own brand!!
 
MI wa tatu, lkn kulingana na Mada inatokana na malezi lkn wengine hulka tu mi dadaang kabisa ana tabia hii ya kuchukia mtu bila sababu lkn haijtokana na malezi coz our mother is very strong Ken malezi dat y nimezungumzia hulka tu za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseehh!!mi mtu wa kununa nuna ananikwaza sana kwa kweli...!!!ntamshushua muda wote

My own brand!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom