Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,714
- 128,399
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani usizoeane na mtu ugomvi daah hatari chuki mbaya
Pole yao aisee. Ila sio tabia nzuri na kiukweli na haifai.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani usizoeane na mtu ugomvi daah hatari chuki mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole yao aisee. Ila sio tabia nzuri na kiukweli na haifai.
Na hauna dawa pia. [emoji23] [emoji23]Kabisa,chuki ni ugonjwa mbaya
Tunatofautiana upeo wa kufikiri mkuu.emmyta HATA ME NASHANGAA UNAMCHUKIAJE MTU WA JF
Uchoyo, Wivu,Ubahili,chuki,Ubinafsi etc ni kazi ya nafsi,nafsi imeumbwa kujikurubisha na mambo yasiyopendeza,Nafs ni rafiki wa shetani,Hilo la kuchukia id fake lipo sana na limeanza kushamiri aisee hadi huwa naiogopa jf.
Saa nyingine chanzo ni hawa kaka zetu tunaocheka nao majukwaani.
Heee kumbe mnachukiana humu huku hata hamfahamiani?Salaam wanandugu naomba kuuliza,hivi hivi vitu vinasababishwa na nini?!!!
Chuki;Utakuta mtu anakua na chuki mbaya kwa binadamu mwenziwe bila sababu za msingi!Yaani anakuchukia tuu!hujamfanya lolote lile baya au zuri.
Mwingine hata kuongea hamjawahi ila anakuchia tu,mfano hata humu wapo anachukia fake I'd [emoji3] na ugomvi anamuanzishia kisa hakuna au walipishana kidogo!!
Unafiki sijui haswa tatizo ni nini ila kuna watu wanaona raha wenzao wakigombana au kutofautiana.Atafanya kila njia awachonganishe mzozane,msutane mradi yeye nafsi yake iridhike tu
Uchoyo;Kuna mijitu michoyo hapa duniani...mpk shetani anawashangaa..!.
Mtu mchoyo mpaka anaficha chakula uvunguni mwa kitanda au chooni mradi tu asigawe sijui hii hali inasababishwa na kitu gani?au kama ugonjwa sijajua tiba ni nini?
Ila wachoyo kwa kuombaaa...balaa!
Roho mbaya;Hawa ndo mwisho wa matatizo kuna watu wana mioyo migumu jamanii!!!kama wadudu...yaani atahakikisha anafanya fitna zote ili usifanikiwe au ukiwa na mafanikio kidogo yeye ananuna au hakusemeshi
Anatamani awe yy tu mwenye kufanikiwa baas wengine mumsujudie...!!!Sasa sijajua huu ni ugonjwa huu tiba ni nini ...!!!!Mtu anakua na roho nyeusi mpk anatamani kuona wenziwe wakiwa kama yeye maskini!!.
NB;Sisemi Mimi ni mkamilifu ila vingine vinazidi jamanii!
Kama ni ugonjwa basi hali ni mbaya sana!
My own brand!!