Hivi inakuaje mama mzazi ni mdogo kuliko mume wa binti yake

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,108
Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu.

Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini Mama akampa jamaa shikamoo
 
Shida iko kwa binti hapo
 
Back
Top Bottom