Bashe ni mfanyabiashara kabla hajawa mbunge,mkuluma na mfugaji kabla ya ubunge,ni 'mtoto flani' wa rostam Aziz, rostam alipoinunua habari corporation Bashe ndiye alikua inchaji manyota
Akaja kuwa mbunge na waziri,hapo kishafanya sana biashara kenya,sudani kusini
So ng'ombe 5000 ni kidogo sana kwake, alikua na mchezo wa kununua ng'ombe dhaifu na kuwanenepesha kisha kuuza,muda sana
Ana ranch njia ya nzega-tabora,aliagiza ng'ombe 100 sauzi,sikatai kupiga lakini kudhani kapata pesa baada ya kukalia kiti wizarani si kweli
Huenda ana upigaji ndiyo maana kaachwa,au kaachwa kisa afya maana sukari ilisumbua sana juzi hapa akaenda sauzi
Mimi ni class mate wake,rafiki wa utotoni,I fiended one of his sisters
Sijui ni yupi 😂, aje atuambieAmina au?😅
Weka vielelezo vya uzuri wa mwanzo wake.Ule mradi ulikuwa umeanza vzr lkn kwasasa sijuh unaendeleaje
Itakuwa wahuni wa nchi washapiga hela na mradi ukajifia 😭😭
Watu wenye asili ya somali wapo kibao tu Tanzania na ni watanzania halali kabisani msomali pia ...
Sasa anasukari ile manzi ya SEGEREA atakuwa anaikuna vizuri kwel maana mzee kamoli alishindwa kuikuna akajua msomal anaweza kuikuna kumbe naye anasukari daaaahni msomali pia ...
Wizi mtupuKosa lilianzia hapa.
Kilimo hakihitaji watu wengi. Hizo hela wangewekeza kwa watu wachache wawekeze kwenye plantations. Hao chawa wengebakia kuwa wafanyakazi tu. Sasa wafanyakazi ndio wanapewa hela za kulimia mwisho wamekula mtaji wamekimbia mashamba.
Leta uthibitisho, weka hata mradi mmojaInaendelea tena ziko BBT nyingi tuu Mpya mfano
-BBT mifugo
-BBT Uvuvi
-BBT Madini
Machawa na watawala wao huwa wanaamini wao ni wazalendo zaidi kuliko raia wengine hivyo wanatakiwa kufaidi zaidi kwa namna yoyote ile.Wao wanahisi sie tuna chuki na serikali, hapana tunaona vibaya kodi zetu zinavyotumika..
Hizi ni mali za watz wote, zifaidishe watz wote, sio wahuni wachache.
Haujawahi kuanza vizuri ule ulikuwa ni wizi wa mchana kweupe, kama unataka kusaidia watanzania, punguza kodi na weka incentives na subsidies kwenye supply chain ya kilimo, ila kuchukua hela cash eti kulipa vijana na kununua mashamba sijui ni wizi tu na kuchezea kodi zetu, imagine ni billions za hela watu wameweka mifukoni mwaoUle mradi ulikuwa umeanza vzr lkn kwasasa sijuh unaendeleaje
Itakuwa wahuni wa nchi washapiga hela na mradi ukajifia 😭😭
Ni kama Gerisoni Msigwa alivyojigeuza bank kugawa pesa kwa wasanii wao eti wanasaidia sekta ya sanaa, sasa anapiga kelele mtandaoni pesa zirudiswhe. Bashite naye anasema wataanza kwanunulia content creators camera na simu nzuri 🤣🤣🤣.Haujawahi kuanza vizuri ule ulikuwa ni wizi wa mchana kweupe, kama unataka kusaidia watanzania, punguza kodi na weka incentives na subsidies kwenye supply chain ya kilimo, ila kuchukua hela cash eti kulipa vijana na kununua mashamba sijui ni wizi tu na kuchezea kodi zetu, imagine ni billions za hela watu wameweka mifukoni mwao
Watu wenye asili ya somali wapo kibao tu Tanzania na ni watanzania halali kabisa
Wapo wenye asili ya somali ni wapigania uhuru , walikuja Tanganyika hata kabla ya ukoloni , kama wabantu wengine tu waliopo Tanzania walivyokuja .whereas wenye asili ya kibantu kule somalia walirudishwa na un tanzagiza baada ya kukataliwa na barbarian somalis, wanaitwa bantu somali soma khs historia yao, walipelekwa somalia utumwani na muslims lkn ilishindikana mpaka un waliibgilia kati wakarudishwa tanzagiza wako tanga ...
Wapo wenye asili ya somali ni wapigania uhuru , walikuja Tanganyika hata kabla ya ukoloni , kama wabantu wengine tu waliopo Tanzania walivyokuja .
Una ubaguzi sana mkuusomaia kulikuwa na wabantu pia waliouzwa utumwani na muslims, walirudishwa tanzagiza na united nations kwa sababu ya kubaguliwa na kukataliwa na wasomali, halafu wewe unajivunia kuwa na wasomali? ...
Ana asili ya usomali kama rage,hersi na kinanani msomali pia ...
Afisa...Inaendelea tena ziko BBT nyingi tuu Mpya mfano
-BBT mifugo
-BBT Uvuvi
-BBT Madini
Una ubaguzi sana mkuu
Afisa...Inaendelea tena ziko BBT nyingi tuu Mpya mfano
-BBT mifugo
-BBT Uvuvi
-BBT Madini