Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,763
- 50,226
- Thread starter
- #161
ChoiceVariable hii stori ni ya mwaka huu?
Bashe alipiga mpunga wake akalala na miaNani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
Bundi hili hapa ChoiceVariable kutwa ukasuku pepepepe peeepepe.
CCM Imeshindwa Kila EneoWatu waliipinga sana humu wakaitwa wapinzani