Hivi huyu PSL god mnamuelewa ?

Hivi huyu PSL god mnamuelewa ?

Nilie nini sasa halafu mimi ni mwanaume sio mtoto wa kiume. Hebu na wewe slow down basi
😹😹😹 Kwa ulivyo nimeshangaa kuona umepandisha uzi kisa dislike za Penseli..

Sasa mwanaume gani anakuwa na tabia za kulalamika nyanza boy?

Kwani wewe mgeni naye? 😹
Huyu si tulikua naye selfika anashinda anatukera au umemsahau??
 
Hata likes zikiwa hazina mpangilio zinaboa tu. Huwezi kulike kila comment bila sababu za msingu, nayo ni matumizi mabaya ya huzo reactions tu. Unakutana na notifs za likes kwa mtu mmoja zinafik 50, ujinga tu.
😹😹😹 Lakini hizo hawalalamiki na kwa maelezo yake kwake hazina shida lakini dislike ndo hataki..!!

Mi nachekaga mtu analike mpaka comment za emoji na nukta.. JF kuna watu umeme mdogo kichwani..!!

raraa reree analike bila kusoma, niliwahi kumwambia hizo likes ageuze pesa anitumie nna shida nazo..!! 😹
 
kwamba dislike ndio changamoto, halafu reactions nyingine kama vile like ndio sio changamoto, right?

kuna mwingine hua anapita na like tu, huyo sio changamoto ila huyu wa dislike, right?🐒
wabongo wajinga wajinga sana wanakuwa vipaumbele vya vya kipumbuvapumbavu
mijitu inakosa usingizi kwa kwa kupigwa dislike, upuuzi mtupu
 
Kweli watu tunatofautiana! Naona unaumia kichwa kwa kitu kidogo kama hiki.
Epuka magonjwa ya moyo

Ila huyu Mwamba amezidi.
Anakupa Dislike hadi Unaweza ukadhan ana chuki binafsi.

kumbe ni namna yake ya kutafuta attention.

Imagine unafungua notification unakutana na dislikes 50 .
Aaaah Kama humjui huyu jamaa. Kisukari kinakupanda 😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom