Kweli watu tunatofautiana! Naona unaumia kichwa kwa kitu kidogo kama hiki.Aio dislikes tu, hata reactions nyingine kama hazina mpangilio zinaleta taharuki ya saikolojia. Unakuta notifs ina 50likes kwa mtu mmoja, yaani mtu anatoa like bila mpangilio. Hana kitu cha kumuweka busy au nini?
Hata likes zikiwa hazina mpangilio zinaboa tu. Huwezi kulike kila comment bila sababu za msingu, nayo ni matumizi mabaya ya huzo reactions tu. Unakutana na notifs za likes kwa mtu mmoja zinafik 50, ujinga tu.Alichokitaka amefanikiwa, hivi mnavyompa attention na kumfungulia nyuzi ndo furaha yake…!!
Halafu Manyanza na wewe mbona ukikuta notifications za likes kutoka kwa raraa reree na leo dada hupandishi uzi wa malalamiko?? 😹😹😹
Mkipenda like msichukie na dislike..
Acha kulia kulia mtoto wa kiume
Kama hivi nimetoa reaction ya laugh 😃 kwa sababu moyoni nimecheka. Basi tuliza moyo nisipate magonjwa ya moyo binti.Kweli watu tunatofautiana! Naona unaumia kichwa kwa kitu kidogo kama hiki.
Epuka magonjwa ya moyo
Si anajua ushenzi anaoufanyaWakumaind ungetakiwa uwe ni ww mzee wa lumumba nazani kwenye watu wanaongoza kwa dislike ni humu ni huyu mtu ila wala hapaniki
Paragraph 3 plus kakima kako! Huenda ni parody lako!🙄inashangaza mno aise,
why mtu upanic kwasababu ya maoni au mtazamo huru wa mtu mwingine hata kama ni tofauti na wako?
binafsi kwangu,
hayo hua naona ndio mawazo, fikra na maoni ya muhusika. Na hapo ndio uwezo wake wa fikra mpya na mawazo mbadala ulipoishia.
na mtu huyo ana haki na uhuru wa kutoa maoni yake kwa kuandika kwa maelezo kwa maneno, hata kama ni matusi, au anaweza kutumia emoji mbalimbali ambazo zimewekwa mahususi kwenye vifaa tunavyotumia, huku vikiwa vimebeba ujumbe mahususi wa mtazamo wa anaetumia emoji hiyo kwa mfano like and dislike 🐒
ok.Paragraph 3 plus kakima kako! Huenda ni parody lako!🙄

Aliyekushauri kuweka ok na passport yako kaweza!
ok.Aliyekushauri kuweka ok na passport yako kaweza!

anapita ma dislike kwenye nyuzi zangu kila siku bado ananiandama sana huyu jamaaKuna kipindi alikuandama humu 😹😹
Fanya ndio ila usikere watu! We ukitaka hata kujinyea humu ni wewe, ukitaka kupita uchi hayaa! Ila sio mpaka uguse na wengine wageuke! Acha wageuke wenyewe!Mm naona sawa tuu, kila mtu afanye anavyoona inamfaa
Binafsi hajawahi kunikera huyo jamaa, labda kwa sababu hua nawapuuzia watu wengi humu hvy siwawek akiliniFanya ndio ila usikere watu! We ukitaka hata kujinyea humu ni wewe, ukitaka kupita uchi hayaa! Ila sio mpaka uguse na wengine wageuke! Acha wageuke wenyewe!
Kwahiyo ukikuta notf 300 nyekundu na 100 za mimba unaasume ni demu wako ulimpa mimba tu unapuuza sio?Binafsi hajawahi kunikera huyo jamaa, labda kwa sababu hua nawapuuzia watu wengi humu hvy siwawek akilini
Sijaelewa point yakoKwahiyo ukikuta notf 300 nyekundu na 100 za mimba unaasume ni demu wako ulimpa mimba tu unapuuza sio?
Achana nayoSijaelewa point yako