Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,062
- 8,515
Hadi sasa kashatutoa kwenye reli ona sasa tumeshindwa kujua update ya kesi ya maasai rasta
Ndio nani huko buzebazeba?Hadi sasa kashatutoa kwenye reli ona sasa tumeshindwa kujua update ya kesi ya maasai rasta
Wasaidie kumvusha maana anateseka sana 😂 😆Asipopata bwana ntashangaa sana
leo dada na jirani yako njooni mtoe like huku kwenye uzi wa ManyanzaMtu ndani ya lisaa anakupa dislike 300, hata kama ningekuta ni like ningechukulia ni usumbufu.
Sema kwa watu wote wa like akina raraa reree , leo dada , min -me sijawahi kuona wanafanya ujinga huo!
Mimi kaniwekea hizo reactions alizokuwekea Wewe 209. Nadhani aina ya Bangi anazovuta huwa anazichanganya na Kinyesi chake kilichotukuka kwa Kuoza vibaya sana.Wakuu!
Niliingia humu mida fulani nikakutana na uzi wa Dada yangu Binti wa zamani akihoji hizi notifications za 🤬🤮 inakuwaje ?
Na wadau wakamlenga moja kwa moja kwamba huyu Member wa kuitwa PSL god ndio kazi yake .
Sasa nawauliza wenzangu huyu Member ana tatizo gani ? Mpaka anakuwa anaweka hizi reactions kwa baadhi Members?
Nimeanzisha uzi baada ya kuingia muda huu nakutana na notifications nyingi sana za huyu PSL god . Hivi huyu mwenzetu mnamuelewa ?
Huu kwangu binafsi nauona ni uchafu tu wala sio compliment kwangu.
Uongozi wa JamiiForums naomba mjaribu kumuelewesha huyu Member anachokifanya hakipendezi na wala hakina maana yoyote.
View attachment 3669325
ok.🐒Hata mimi ndio nashangaa mkuu ukute nawewe na vinyani vyako ukawa changamoto kuliko yule wa vinyau
uko sahihi 100%🐒Ukipewa like mbona hauleti malalamiko? Hizo dislike zinakuathiri nini? Zingekuwa hazitakiwi, JF ingeziondoa.
uko sahihi 100%🐒Ukipenda likes basi na dislikes zikubali pia.
Ili mzani ubalance siyo? Keshatia timu tayari
Usiyempenda kajaAsipopata bwana ntashangaa sana
We una bahati kwa vile upo upande wake jaribu kwenda kinyumeHajapenda ulichoandika.
Akafiewr mbele huko!Usiyempenda kaja
Kuna uzi niliona analalamika kuathirika na nyeto na kuogopa wanawake yuko under 21 sijui🤦🏽♀️Namwelewa
Ana matatizo flan ya akili ila ni mwanangu sana
inawezekana sishangai kabisa kuhusu huyu dogoKuna uzi niliona analalamika kuathirika na nyeto na kuogopa wanawake yuko under 21 sijui🤦🏽♀️