hivi huyu mkaka.....

hivi huyu mkaka.....

Status
Not open for further replies.
.......kujidai mwali mwali,kumbe malaya tu unakiuzisha hicho kidude chako...na leo ndio watu watakujua hasa you true colours,wivu umekujaa kama vile sio changu?una wivu si una kidude chako????.....
Basi, naomba yaishe Rebeca. I am sorry.
 
Rebeca mpendwa wetu, mbona unazidi kujiharibia tu?
  • We uliingia humu eti unatafuta mchumba.
  • Mara ukaanzisha thread ya kusema K yako ni kubwa, imechoka sana,
  • alafu we huyo huyo unampenda mpenzi wako wa utotoni...
  • sasa unakuja na picha ya mume wa watu eti unataka kua mke wa pili...
Kwa kweli sina uhakika kama mchumba wako atatokea humu JF...

kumbe huwa inachoka,dah heri kuupdate
 
DSC01265.JPG
we machozi band ya jaydee ana mke???ni mzuri jamani....mie niko tayari kuwa mke wa pili.....

Sasa kama umempenda si umwambie kwani kuleta humu JF itatusaidia nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom