Hivi huyu Mangi anapiga hesabu za wapi hizi?

sista niko rombo kikazi..huku net ina speed ya konokono...

uwiiiiiii...............
nimechekaje sasa?? leo nimeona makala itv wakiizungumzia yaani nimejikuta nashangaa manake nilikuwa sijaliskia kiundani
ivi kumbe ni tenda kubwa ivo?
 
hahahah!!! maisha kusaidiana sisy..ngoja tufanye kazi ya kanisa
 
mkuu naweza pata audio yake na mimi nisikilize??

Dada gfsonwin tafadhali niombee audio ya tangazo hili

mkuu wangu bado sijapata reliable source ya hili Tangazo, nalitafuta sana vile vile...

Kwani wewe umejipangaje kulipata mkuu? Una shs ngapi?:becky::becky:
 
ivi wewe kwann ukiitwa na dada ako huitiki?
utaniudhi ujue
 
dada si unajua bado nasoma masters ya Humanitarian logistics??:becky::becky:
sasa wakati unaniita nilikuwa na-present refugee problems.. teh teh!!😛anda:
 
hongera kwa shule
endelea
 
Thank you!
enhee, sasa niambie!
Umejipangaje pangaje na hii week end??

wk end nina mpya baasi??
ivi niko usweken weekend nagonga job kama kawa...........
sina pumziko si unajua aela za kutafuta uzeen?
 
Hahahaa!! pole sana dada!
kummbe huna mchuzi wa kutosha this wee end?
Sie tuligoma bwana tukapewa vyetu..
njoo nkununulie pepsi cola baridi..:becky:
 
siku hizi nimeishiwa bhanaaaa
nashukuru kwa ofa atiii
 
mkuu wangu bado sijapata reliable source ya hili Tangazo, nalitafuta sana vile vile...

Kwani wewe umejipangaje kulipata mkuu? Una shs ngapi?:becky::becky:

aaaah nina buku mkuu wangu!!
 
Mimi Hili Punguzo La Mpaka Asilimia 99%.Ndo Naona Kama Tunaibiwa Mchana Kweupe.Wataalamu Mtujuze Haya Mahesabu Yamekaaje?
 
Back
Top Bottom