Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,497
Lile tangazo nalipenda sana aiseeee, Ndorrrooobo weeeee huu muda wa kuanzisha thread si ungemfundisha huyo mjombwa wangu hesabu!!!
nilidhani unanifahamu kuliko watu wote hapa jf.....
Umejibu kwa hekima na upole utadhani uko live on air ukihisi mtoto naye anakusikia.
najua wajua ukweli sihitaj kusema zaidi bhanaa!!
Btw ahadi huwa hazitimii kulikoni?
Lengo ni kwamba matangazo yenu mjitaidi kuyafanya kila mmoja ayaelewe maana watoto wetu wanajifunza kujumlisha sasa mnawapa tabu sana,kama kuna discount mseme maana mtoto wa chekechea ii umwambie hiyo hesabu ina punguzo unaweza kufanya achukie hesabu kabisa
pm ya nini tena??Hili swali unatakiwa ulijibu wewe ujue....
Nakusubiri PM.
Ni kweli kabisa tena ukizangatia kwenye hesabu za shuleni hakuna kitu kinaitwa discount
pm ya nini tena??
tumalizane apa
Mimi nahisi aliyeandaa tangazo alikuwa na maana nyingine pia!! Kumbukeni biashara ni ushindani kwa hiyo Mangi anawakilisha mitandao mingine na kijana anawakilisha Airtel.
Hesabu imekosewa kimakusudi kama "Dongo" kwa mitandao mingine ya kwamba hawana uhakika na wanacho-charge wateja wao. Ndiyo maana utamsikia Mangi anasemaa kama elfu 65,500 wakati ukisikiliza kwa mbali anabonyeza calculator!!
Kwa watu waliosoma marketing najua wanalielewa sanaa hilo tangazo!
Ni hayo tu kwa upande wangu! Ila sasa kumuelewesha mtoto ambaye hajui marketing strategy inahitajika busara!! Mwambie mtoto hiyo bei kijana kashapunguziwa kwani tangazo mara nyingi halipaswi kuzidi dk 1!!
Jana mwanangu aliniuliza baba unalijua lile tangazo la airtel,nikamuuliza mwanagu ni lipi hilo,akasema lile linaanza na kijana anasema hili duka limejaa nitapata kila kitu,mangi anaitikia karibu kijana.
Kijana anauliza body spray,mangi anasema 15,000,feni mangi anajibu panga boy 50,000,kijana anasema Panga duu,na kisha anauliza na malapa je,mangi anasema 1000,kisha kijana anaomba jumla ngapi mangi anasema 65,500/=
Hapo ndipo mtoto wangu anashangaa badala ya jumla kuwa 66,000/=
Nisaidieni wana jamvi mtoto amuelewe Mangi na hesabu zake.
Mwambie mwanao Mangi hatoi Risiti na mashine ya EFD hana au hataki....
ndorobooo wewe iyo buku si bora ununue gazeti ujipepee??
eti wanasema mnasaidiwa kazi jaman ya kweli aya?
Hahahaaa! Mkuu Mangi amekushika pabaya!Hii ni dharau kwa magazeti. Faida zake kuu ni kujipepea kuliko kuelimisha au kutoa habari. kazi kwenu
thats my lito bro!!hahahaaa! Mkuu mangi amekushika pabaya!
Yani hujajua kwanini dogo aliambiwa akanunue gazeti??
Substitute ya pangaboi ambalo kazi yake ni kuondoa joto, ni gazeti tu ambalo thamani yake ni buku, pesa ambayo mteja wa mangi alikuwa nayo....