Hivi huyu ex wangu bado ananipenda au!!?

Hivi huyu ex wangu bado ananipenda au!!?

Nikifanya nini nitapata namba yako ya simu?
 
Sjui kwa kweli
Natamani ningekuwa karibu nawe nikupapase kwa mipapaso tetemeshi huku nikikuimbia taratibu nyimbo itakayouburudisha akili yako mpk kufikia kilele Cha usingizi wako uniote ndotoni tukifurahi na kucheka nikubembeleze Kama mtoto ulale kifuani ulisikie joto tamu toka ktk vilindi vya mwili wangu likufariji ujihisi mwenye faraja isiyokifani!!
 
Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana tena.mana tunavyoendelea kuongea hisia zake zinarudi tena kwangu ila ana mwanamke mwingine tayari.
 
Inaonekana hata wewe bado uko na feelings na ex wako,ni muda tu utaamua lini atakukula.
 
Huyo kashakuacha..zamani..zaidi anataka tu kukutumia ila Hana mpango nawewe....ENDELEA na maisha yako..

Kama kumfulia Mbona ulimfulia na bado akakuacha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani ningekuwa karibu nawe nikupapase kwa mipapaso tetemeshi huku nikikuimbia taratibu nyimbo itakayouburudisha akili yako mpk kufikia kilele Cha usingizi wako uniote ndotoni tukifurahi na kucheka nikubembeleze Kama mtoto ulale kifuani ulisikie joto tamu toka ktk vilindi vya mwili wangu likufariji ujihisi mwenye faraja isiyokifani!!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hats off
 
Akili kakodisha zikirudi atelewa
Wameachana mwezi mwanaume kashapata mwingine...Aiseeee huyo alikuwepo tangu enzi. Kumfulia,kumpikia kukatikia doesn't keep a man. If a man wants to stay he will stay ...maana Sasa hata Tabia yake nzuri na kumdekeza na kumfanya Kama mtoto bado huyo mwanaume kasepa..

Basi tuseme TU Kakosa CHUrA...Labda angekuwa na chura na hivyo vingine Labda wasingeachana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unawekwa uwe mchepuko wa kudumu, mwenye sifa ameshaolewa naye tayari.
Ila baadhi ya wadada, sijui watatujua lini vizuri.
Kutojitambua kwenu ndiyomaana mnaacha mnakua na ma ex kibao, na wanawaoa wanawake wengine lakini wakirudi kwenu mnatoa penzi kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom