Hivi huyu ex wangu bado ananipenda au!!?

Hivi huyu ex wangu bado ananipenda au!!?

Huyo mwanaume anafahamu kwamba bado unampenda, hivyo anacho fanya ni kucheza na akili yako ili uamini kwamba wewe ulishushwa hapa duniani kwa ajili take tu.
Baada ya hapo, ataendelea kuku kula kamakawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, hii mbinu tunatumiaga sana kwa maex ili watukumbuke [emoji3][emoji3]
 
Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana tena.mana tunavyoendelea kuongea hisia zake zinarudi tena kwangu ila ana mwanamke mwingine tayari.
Soon kiporo kitapashwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrudie basi uanze tafuta y na z ukamilishe elfabeti zote
 
Unataka kuwa mgumu kuelewa nikianza kuandika kisukuma hapa mod watanipiga ban![emoji23]

Nalekutogwa getegete!

Napo hujaelewa..??
Hata jirani msukuma mm sina jaman[emoji2296]
 
Hata jirani msukuma mm sina jaman[emoji2296]
Nataka uwe kiporo changu wasemaje baby wa huba nyonga mkalia ini usievaa vimini mwenye jicho lililokula yamini..??
 
Nataka uwe kiporo changu wasemaje baby wa huba nyonga mkalia ini usievaa vimini mwenye jicho lililokula yamini..??
[emoji2960] aisee mpaka bibi zako tuwe viporo tushakua wabaridi sisi
 
Back
Top Bottom