Hivi huyu ex wangu bado ananipenda au!!?

Hivi huyu ex wangu bado ananipenda au!!?

He wants to make you his side chick, aisee wanaume wana strategy jaman..🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wameachana mwezi mwanaume kashapata mwingine...Aiseeee huyo alikuwepo tangu enzi. Kumfulia,kumpikia kukatikia doesn't keep a man. If a man wants to stay he will stay ...maana Sasa hata Tabia yake nzuri na kumdekeza na kumfanya Kama mtoto bado huyo mwanaume kasepa..

Basi tuseme TU Kakosa CHUrA...Labda angekuwa na chura na hivyo vingine Labda wasingeachana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha eti chura[emoji23][emoji23][emoji119]
 
And akanambia mi nimekuwa na wanawake but wewe una wazid for everything coz kwanza nilikuw namjal yan kama nguo chafu hasemi mimi napenda sana kufua had sometime akaw ananiambia mbon hii haijachafuk umefua! Yan umefua soksi zote ntavaa nini sasa yan nikion kavaa leo kesho nafua yan all the time nguo ziko safi usafi tu napenda! From the bed till sebren spend pawe pachaf kabisa,jikon ndo kabisa and nafany mwenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeukumbuka wimbo wabahati bukuku unaitwa kampeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana tena.mana tunavyoendelea kuongea hisia zake zinarudi tena kwangu ila ana mwanamke mwingine tayari.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hapo tunasema fisi anasubr msosi tuh wanaume sisi mungu ndo anatujua vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And akanambia mi nimekuwa na wanawake but wewe una wazid for everything coz kwanza nilikuw namjal yan kama nguo chafu hasemi mimi napenda sana kufua had sometime akaw ananiambia mbon hii haijachafuk umefua! Yan umefua soksi zote ntavaa nini sasa yan nikion kavaa leo kesho nafua yan all the time nguo ziko safi usafi tu napenda! From the bed till sebren spend pawe pachaf kabisa,jikon ndo kabisa and nafany mwenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaahh 😂😂😂😂😂😂😂😂Kwamba Unapenda sana kufua
 
Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana tena.mana tunavyoendelea kuongea hisia zake zinarudi tena kwangu ila ana mwanamke mwingine tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ya ex au kuachana haimaanishi kutopendana, wakati mwingine ni kushindwana au kutoendana katika mambo fulani.
 
Back
Top Bottom