Hivi huwezi mtu kugomea uteuzi?

Hivi huwezi mtu kugomea uteuzi?

Kiheshima inabidi ukubali na ujaribu kadiri ya uwezo wako. Hiyo kazi uliyokuwa nayo sekita binafsi unaweza kuomba likizo bila malipo endapo mambo yasipokuwa mambo urejee na utapokelewa! Wewe ni mtanzania umesomeshwa kwa subsidised gharama za shule mpaka ukafika hapo ulipo! Serikali imekuona unaweza kutusaidia alafu unasema staki?? Hujitambui labda!
Hongera kwa kusomeshwa.
Tambua kuwa waliosomeshwa ni wachache sana ukilinganisha na waliojisomesha.
 
Kiheshima inabidi ukubali na ujaribu kadiri ya uwezo wako. Hiyo kazi uliyokuwa nayo sekita binafsi unaweza kuomba likizo bila malipo endapo mambo yasipokuwa mambo urejee na utapokelewa! Wewe ni mtanzania umesomeshwa kwa subsidised gharama za shule mpaka ukafika hapo ulipo! Serikali imekuona unaweza kutusaidia alafu unasema staki?? Hujitambui labda!
Je kama ulisomeshwa na wazazi wako au ulijisomesha mwenyewe??
 
Mtu pekeee aliyegomeaa uteuzi wa Samia Ni ndugu wetu Diwani Athumani na Katibu Mkuu wa CWT wengine wote wamekubali na kuacha shughuli zao za maaana na kwenda kufanya Kaz za kitapeli

Mfno ally happy ameacha Kaz zake za shambani na Sasa atakiwepo oficini kuelekeza watu propaganda za CCM na
Mkuu kukataa teuzi ama kujiuzuru kuonesha msimamo wa kutokukubaliana na jambo nchi hii ni kuitunishia misuli Serikali.

Wengi walioteuliwa wakapanchi teuzi wameishia kubaya.

Mf. Angalia Maganga wa CWT alivyokataa u DC na anayokumbana nayo leo.

Huo ni mfano mdogo, lakini wengi wameshapatwa na wengine kupelekea kujisalimisha na kuiangukia serikali kwa magoti kama vile mtu anavyotubu kanisani kwa mchungaji.

Hata hivyo wewe unaona ni hasara gani kuheshimishwa ghafla na kuanza kulipwa mamillioni kwa kazi rahisi zisizo na jasho?
 
Nakumbuka kuna jamaa nadhani alikuwa ni employeee wa tIGO aliteuliwa henzi za Magu, jamaa akagomea uteuzi wa UDC aisee jamaa hakuacha kuona rangi hapa duniani, maisha kwake yalikuwa machungu na baadae naona aka surrender na kuunga juhudi.

Kwa kifupi kugomea uteuzi nasikia wana term kama insubordination. Usiombe ubambikiziwe hiyo kitu, utajuta!!
Mtu unajikuta una Kaz yako taasis kubwa labda ya kimataifa alfu mtu anakuja anakuteuwa kuwa DC sijui huwa Wana maana gani
 
Mtu pekeee aliyegomeaa uteuzi wa Samia Ni ndugu wetu Diwani Athumani na Katibu Mkuu wa CWT wengine wote wamekubali na kuacha shughuli zao za maaana na kwenda kufanya Kaz za kitapeli

Mfno ally happy ameacha Kaz zake za shambani na Sasa atakiwepo oficini kuelekeza watu propaganda za CCM na kusubiri posho na maelekezo kutoka juu
Baada ya miezi sita naye atamiliki V8 kama ya Kitenge.
 
Kuna jamaa mmoja somebody ALI MASWANYA
Huyu jamaa aligomea uteuzi wa JPM ukuu wa wilaya..

Alipo ulizwa kwa Nini hakuonekana kwenye kuapishwa akajib simple kua kwa Sasa yeye Ni mwajiliwa wa TIGO TANZANIA
Inasemwa alifanyiwa figisu mpaka akaondolewa kazini

NB;
KWENYE KATIBA ZA THIRD WORLD COUNTRIES RAISI HAGOMEWI WALA HAKATALIWI JAMBO
Na raia mnaongea kwa namna kama mnakubaliana na huo upumbavu.
 
Kuna jamaa mmoja somebody ALI MASWANYA
Huyu jamaa aligomea uteuzi wa JPM ukuu wa wilaya..

Alipo ulizwa kwa Nini hakuonekana kwenye kuapishwa akajib simple kua kwa Sasa yeye Ni mwajiliwa wa TIGO TANZANIA
Inasemwa alifanyiwa figisu mpaka akaondolewa kazini

NB;
KWENYE KATIBA ZA THIRD WORLD COUNTRIES RAISI HAGOMEWI WALA HAKATALIWI JAMBO
Hata akimuomba mwananchi sehemu yake yake ya kukalia aiingilie
 
Hawa Wanasiasa wetu ukitaka kumtolea nje inabidi utumie lugha nzuri sana ya kinyenyekevu
Kwa mfano Meck Sadick alivyomtolea nje JPM. u RC Kilimanjaro
Alimwambia "Nahisi siwezi endana na kasi yako Muheshimiwa Rais"
Bora yule Ni mzee mzee nawahurumia wale walio kwenye Mambo Yao yamaana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom