Hivi huwezi mtu kugomea uteuzi?

Hivi huwezi mtu kugomea uteuzi?

Mtu pekeee aliyegomeaa uteuzi wa Samia Ni ndugu wetu Diwani Athumani na Katibu Mkuu wa CWT wengine wote wamekubali na kuacha shughuli zao za maaana na kwenda kufanya Kaz za kitapeli

Mfno ally happy ameacha Kaz zake za shambani na Sasa atakiwepo oficini kuelekeza watu propaganda za CCM na kusubiri posho na maelekezo kutoka juu
Unagomeaje mlango uliofunguka, kiroho ni hatari sana usitazame mambo kwa jicho bali kwa kiroho na imani
 
Kuna jamaa mmoja somebody ALI MASWANYA
Huyu jamaa aligomea uteuzi wa JPM ukuu wa wilaya..

Alipo ulizwa kwa Nini hakuonekana kwenye kuapishwa akajib simple kua kwa Sasa yeye Ni mwajiliwa wa TIGO TANZANIA
Inasemwa alifanyiwa figisu mpaka akaondolewa kazini

NB;
KWENYE KATIBA ZA THIRD WORLD COUNTRIES RAISI HAGOMEWI WALA HAKATALIWI JAMBO
Unakataa halafu huko ulipo mambo yanaweza kuyumba muda sio mdogo, kupata nafasi nyingine ni Mungu anataka ukue
 
Kuna jamaa mmoja somebody ALI MASWANYA
Huyu jamaa aligomea uteuzi wa JPM ukuu wa wilaya..

Alipo ulizwa kwa Nini hakuonekana kwenye kuapishwa akajib simple kua kwa Sasa yeye Ni mwajiliwa wa TIGO TANZANIA
Inasemwa alifanyiwa figisu mpaka akaondolewa kazini

NB;
KWENYE KATIBA ZA THIRD WORLD COUNTRIES RAISI HAGOMEWI WALA HAKATALIWI JAMBO
Ni hatari sana.....wengine hatuwezi kazi za kilaghai....sasa itakuwaje ukiniteua bila hiari yangu?
 
Kuna jamaa mmoja somebody ALI MASWANYA
Huyu jamaa aligomea uteuzi wa JPM ukuu wa wilaya..

Alipo ulizwa kwa Nini hakuonekana kwenye kuapishwa akajib simple kua kwa Sasa yeye Ni mwajiliwa wa TIGO TANZANIA
Inasemwa alifanyiwa figisu mpaka akaondolewa kazini

NB;
KWENYE KATIBA ZA THIRD WORLD COUNTRIES RAISI HAGOMEWI WALA HAKATALIWI JAMBO
Kama ni kweli, ni kukoseana heshima na ubabe uliopitiliza.
Lazima tukubaliane kuwa tunao utofauti wa mitazamo na machaguo yetu. Naona ni vyema Mawasiliano Kati ya mteuliwa na mteuwaji yafanyike kabla ya majina kutangazwa.
 
Sahihi
 
Kiheshima inabidi ukubali na ujaribu kadiri ya uwezo wako. Hiyo kazi uliyokuwa nayo sekita binafsi unaweza kuomba likizo bila malipo endapo mambo yasipokuwa mambo urejee na utapokelewa! Wewe ni mtanzania umesomeshwa kwa subsidised gharama za shule mpaka ukafika hapo ulipo! Serikali imekuona unaweza kutusaidia alafu unasema staki?? Hujitambui labda!
Nadhani wengi kuna point mna-mis hapa. Ni hivi: Hawa watawala hata siku moja hawateui watu wenye weledi. Wengi ya wanaoteuliwa ni matapeli, wapiga porojo na kina ndiyo mzee ambao hawawezi kukataa uteuzi wowowte kwa sababu haya ndiyo maisha yao. Kwa kifupi ni kwamba ukiona CCM inakuteua basi jua wewe siyo mtu mwenye weledi.
 
Hahahahaha ila Sasa unawatukan wateuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom