dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,681
- 18,588
- Thread starter
- #21
Yaaani unitoa world bank mpngo wa Africa Kisha uniteue kuwa mkuu wa wilaya ya kasulu Walai siendiKiheshima inabidi ukubali na ujaribu kadiri ya uwezo wako. Hiyo kazi uliyokuwa nayo sekita binafsi unaweza kuomba likizo bila malipo endapo mambo yasipokuwa mambo urejee na utapokelewa! Wewe ni mtanzania umesomeshwa kwa subsidised gharama za shule mpaka ukafika hapo ulipo! Serikali imekuona unaweza kutusaidia alafu unasema staki?? Hujitambui labda!