Hivi hizi ni 'stress' gani?

Hivi hizi ni 'stress' gani?

Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua nazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha ,

1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo
2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa chumba changu kisha nabadirisha mashuka yote kitandani naweka chumba katika hali ua usafi zaidi ,
3 . Kisha najifungia chumbani hata kama ni siku nzima nakunywa wine weeee lazima niweke kwenye dressing table au kinywaji kingine ambacho ni friendly kwangu huku machozi yanaendelea kububujika mpaka napitiwa usingizi , next day nakuwa na mawazo mapya.

Ila kila nikipata Stress hatua zinazojirudia ndio hizo.

Wenzangu mkiwa na stress mnafanyaje??🙁

Mkuu I suppose wewe ni single mother.

Usipende sana kujifungia pekee ukiwa katika hali hiyo na kustressika siku nzima. Jaribu kuwa na marafiki wanaojitambua ukiwa na stress uende kukutana nao muwe na chats za hapa na pale ila usiwasimulie ikiwa na issue ya siri. Chatini mambo mengine tu.
 
Tunafanya kama wewe!
 
Mimi huwa nalia..... na mtu akinotice halafu awe ananipa ushauri
au kunipa pole ndio naweza kulia ndoo ikajaa...... so napenda niwe mwenyewee tu
huwa nakunywa maji mengi... naweza nisile the whole day ila nikawa na kunywa maji tu
 
Siko single kabisa nimeolewa long time ago ila long distance sometimes
 
I suspected something is wrong somewhere kwenye mahusiano ya ndoa. Ila mkuu usi-entertain hiyo hali ya siku nzima na stress ni mbaya kiafya. Try and contact huyo jamaa huko aliko kwa simu kwani unaweza kuwa stressed na kitu kidogo tu ambacho akiongea maneno mawili tu hiyo hali inaisha. May be yeye pengine ndo aweza kuwa chanzo cha stress, jaribu kukutana na rafiki wanaoijitambua Muongee business zenu zinazoeleweka ukirudi home uko poa. Nasema marafiki wanaojitambua nikiwa na maana kubwa kwamba ukiwa na marafiki wa hovyo ndio kipindi cha kufanya maamuzi ya hovo pia kwani muda huu utakuwa out of control emotionally kwahiyo wanaweza kukudrive kusikojulikana ukajikuta umeanza tabia zingine ambazo hukizitegemea.

Take care.
 
Zikija labda mchana jion napiga sana laga

Hapo kama nipo ofsin mtu akijichanganya anakula tusi la mwaka

Nalia sana nkisha kula laga

Namalizia naku seduce [emoji1533]
 
Mimi huwa nalia..... na mtu akinotice halafu awe ananipa ushauri
au kunipa pole ndio naweza kulia ndoo ikajaa...... so napenda niwe mwenyewee tu
huwa nakunywa maji mengi... naweza nisile the whole day ila nikawa na kunywa maji tu

Ngoja namie nijaribu maji

yanasaidia kuondoa stress??
 
Back
Top Bottom