Hivi hizi ni 'stress' gani?

Hivi hizi ni 'stress' gani?

..mimi stress huwa zinanipeleka sana.. Nakunywa pombe sio za nchi hii... Kesho sitoki ndani nalala siku nzima, hata kula sili, simu sipokei, masterbate kwa sana, oooh God come our way
 
Nikiwa na stress naipotezea ili niwe stress free. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pole ila usipende kukaa alone utajitundika ,find a kampan then interact nayo
 
Binafsi mimi mtu akinikera njia rahisi ambayo huwa ni msaada mkubwa kwangu ni kuoga maji ya baridi, yan hata nisipo oga basi hata kujimwagia tu. Yan najiona nimetua mzigo mzito.

Na ilishawahi kunitokea hii siku moja nasafiri nikakorofishana na traffic alinijibu kwa kejeli na dharau bado alinipotezea muda. Tulipomalizana narudi niendeshe gari yani nlikua najiona mzito sana. Nilijikongoja mpaka Iringa nikatafuta gest nikajimwagia maji baridi. Baada ya hapo safari ilikua murua kabisa
 
FL1
Navaa viatu vya kukimbilia hunioni baada ya hapo. Nikiwa na stress ndio nafanya mazoezi zaidi.

Kila mtu ananjia zake za kuondoa stress kama njia yako inaendana na wewe poa tu. Ili mradi isikupeleke pabaya.

Kuna wengine wanaenda pabaya njia zao za ku cope na stress ni kujiumiza, madawa ya kulevya, kunywa kupita kiasi, sad enough kuna wengine hutoa uhai wao.
 
Zikija labda mchana jion napiga sana laga

Hapo kama nipo ofsin mtu akijichanganya anakula tusi la mwaka

Nalia sana nkisha kula laga

Namalizia naku seduce [emoji1533]
We ni mwanaume mkuu?

Na je kama ni ME unatokea Tanga?

Sorry mkuu kwa swali
 
Nikiwa na stress, sometimes nasikiliza musics kwa sauti Kubwa, au nalala sana nikiwa nyumbani hiyo siku nitasugua na masufuria yote, vyombo vyote nasafisha.. Pia naweza fanya jogging napiga round za kunitosha..
 
HUWA NATAFUTA BA NZURI KWA AJILI YA KUNYWA MBILI TATU NA TOTOZI MBILI ZA KIRANGI
 
Mm nakuaga na hasira hasira nakua naongea peke yangu alieniuz namjengea chuki kubwa ndani ya moyo wangu ila nikishapoa nasamehe kabisa nakusahau aisee kweli moyo mashine
 
Hizi siku mbili tatu kumekuwa na ongezeko la thread za ajabu ajabu sana...
 
Hujakomaa bado binti. Kama mim nishakomaa huwa ni vigum kujua hata nikiwa na stress nakuwaje. Labda mood tuu hubadilika lkn hupotea ndani ya mda mfupi
 
Zamani nilikuwa nalia sana ila kwa sasa nikihisi tu kuchanganywa na jambo namwomba Mungu juu ya jambo hilo, nakunywa na maji basi nakuwa free, nikiona haiishi naingia jf inaisha tu
 
Back
Top Bottom