mumie mumy
Member
- Nov 21, 2014
- 71
- 28
mimi huwa nasema na moyo wangu ntajifarij mwenyew mpaka nakuwa sawa wala silii nililia zamani ntafanya kazi sikuhiyo nikiwa nyumbani ntakuwa karibu na familia nipate furaha sipendi kuumiza moyo wangu kabisa
Huwa nagegedana .. ....
Huwa naskilza bluesNime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua ninazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha;
1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo,
2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa chumba changu kisha nabadilisha mashuka yote kitandani naweka chumba katika hali ua usafi zaidi,
3 . Kisha najifungia chumbani hata kama ni siku nzima nakunywa wine weee lazima niweke kwenye dressing table au kinywaji kingine ambacho ni friendly kwangu huku machozi yanaendelea kububujika mpaka napitiwa usingizi, next day nakuwa na mawazo mapya.
Ila kila nikipata stress hatua zinazojirudia ndio hizo.
Wenzangu mkiwa na stress mnafanyaje?🙁
Kati ya vitu havinishughulishagi ni stress aisee.
Wanawake wengi tukiwa na stress hamu ya hayo mambo inapotea kabisaaaHapo ungemalizia na good sex ingekuwa poa zaidi.
Hahahaaa!! Basi tubadilishane,wewe uwe mimi na mimi niwe wewe.you need to help me 🙂