FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
- Thread starter
- #41
Nalia weeee baada ya hapo napiga usingizi nikiamka naanza upya.
Hivi kulia inasaidia maana naona asilimia kubwa ni kulia kwanza ?🙂
Nalia weeee baada ya hapo napiga usingizi nikiamka naanza upya.
maamuzi yako nadhani yako vizuri zaidi kuepuka kuongeza migogoro kwa watu wasiohusikaHahahahahahaa mm nikiwa na hassir siziiti stress naongea kwa hassira hata tusi naweza kumpa sitaangalia huyu aloniudh ana umr au rika gani huwa napungukiwa na uwezo wa kufikir na n rahis sana kusahau vitu au kupoteza
Najijua huwa napenda nikae mbali na kila mtu nikae sehem isiyo kelele na sio ndan niyafikirie yale mambo na hapo ntajifanyia counceling na kujiuliza kwa nn huyu mtu ameamua kuniudh nini nifanye kwann nifanye hilo nililofikiria baadae huwa nakuja na conclusion na kugundua kukasirika ni action inayofanyika kuonesha reaction na hupaswi kutumia hassira kuonesha hisia zako kuishinda hasira ndio silaha kubwa kupambana na anayekuudhi maana anayekuudhi hukasirika marambili akikuona unafuraha
Kwangu mimi inanisaidia sana.Ni mwepesi sana kulia.Nashkuru Mungu sijawai kuwa na hasira siku nzima.Hivi kulia inasaidia maana naona asilimia kubwa ni kulia kwanza ?🙂
Inatibikaje?!Hizo pengine hormonal imbalances tu, usicheze na kitu stress haitibiki kirahisi hivyo FL.
Inatibikaje?!
Namshukuru mungu,sina stress.Kamwone daktari.
Namshukuru mungu,sina stress.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We kijana, nani na wapi kasema unastress ?
Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua ninazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha;
1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo,
2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa chumba changu kisha nabadilisha mashuka yote kitandani naweka chumba katika hali ua usafi zaidi,
3 . Kisha najifungia chumbani hata kama ni siku nzima nakunywa wine weee lazima niweke kwenye dressing table au kinywaji kingine ambacho ni friendly kwangu huku machozi yanaendelea kububujika mpaka napitiwa usingizi, next day nakuwa na mawazo mapya.
Ila kila nikipata stress hatua zinazojirudia ndio hizo.
Wenzangu mkiwa na stress mnafanyaje?🙁