Hivi hizi ni 'stress' gani?

Hivi hizi ni 'stress' gani?

Mi nikishajua stress inaninyemelea ohooo naoga faster..najipara vilivyo najitoa mtoko wa maana....nikifika hiyo sehemu mastress yote yanaevaporate...si unajua mitoko haijawah kutuwacha salamaa...hahaa
 
Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua ninazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha;

1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo,
2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa chumba changu kisha nabadilisha mashuka yote kitandani naweka chumba katika hali ua usafi zaidi,
3 . Kisha najifungia chumbani hata kama ni siku nzima nakunywa wine weee lazima niweke kwenye dressing table au kinywaji kingine ambacho ni friendly kwangu huku machozi yanaendelea kububujika mpaka napitiwa usingizi, next day nakuwa na mawazo mapya.

Ila kila nikipata stress hatua zinazojirudia ndio hizo.

Wenzangu mkiwa na stress mnafanyaje?🙁
Huwa nagegedana .. ....
 
Stress ni mbaya sana, usijifungie ndani baada ya kutandika kitanda toka nje kama una bustani fanya kazi kidogo, toka nje ya mazingira yako jichanganye na watu ukiwa na kinywaji chako. Kama una rafiki wa kweli mshirikishe magumu yako. Jaribu kupuuzia matatizo mengine ili upunguze mawazo. Mara nyingi uwe busy na vitu vya maana, kunywa sana sio suluhishi ila ni kuongeza matatizo. Muombe Muumba akuepushe na balaa
 
Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua ninazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha;

1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo,
2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa chumba changu kisha nabadilisha mashuka yote kitandani naweka chumba katika hali ua usafi zaidi,
3 . Kisha najifungia chumbani hata kama ni siku nzima nakunywa wine weee lazima niweke kwenye dressing table au kinywaji kingine ambacho ni friendly kwangu huku machozi yanaendelea kububujika mpaka napitiwa usingizi, next day nakuwa na mawazo mapya.

Ila kila nikipata stress hatua zinazojirudia ndio hizo.

Wenzangu mkiwa na stress mnafanyaje?🙁
Watch out! Usikae na dawa ya panya jirani!
 
Nikiwa na stress, sometimes nasikiliza musics kwa sauti Kubwa, au nalala sana nikiwa nyumbani hiyo siku nitasugua na masufuria yote, vyombo vyote nasafisha.. Pia naweza fanya jogging napiga round za kunitosha..
hahahaa!mkuu unanikumbusha nilipo kuwa shule o level nikikasirika sana aidha kwa kuchapwa au na maudhi yoyote ntasoma nakuelewa sana
 
Mim niwena mambo YOOTE ILA SIO STRESS ZA WINDOW PERIOD AU DENI. KIUKWELI SILALI KABISA MPAKA NINYWE GONGO, IGLE HIVIII, AUNIVUTE SIGARA KAMA TANO AU VITU VILE VYA WEMA SEPETU. PIA NIKIWA NA JAMBO LANGU HALIFANIKIWI MFANO BUSNES NA KUWA THE SAME. NAPATA RAHA ZAID NNAPOLIPA DENI NNALODAIWA. NARUD KWE NORMALITY
 
Nmekupenda bure maana hapa nilipo Nina stress nasikia mishipa ya kichwa kupasuka kbsa
 
..tafuta basha akutie vizuri ndio dawa ya stress....wanawake wengi huwa mnapata stress sababu ya kukosa ngono...ama kwa kutaka..ama kwa kutokutiwa vema....hamna dawa ya stress kwa demu kama a good fu.ck.....
 
Back
Top Bottom