Tatizo la Dulla Mbabe ni hili

Makonyeza

Member
Feb 2, 2020
69
252
Tatizo la Dulla Mbabe ni hili:

Sishangazwi kupigwa, ni matokeo kwenye ngumi kama ilivyo kwenye michezo yote kushinda na kushindwa ndio mchezo.

Ila kushinda na kushindwa kote kuna sababu na ni hapa ndipo ninapopata mchache ya kusema kuhusu kuboronga kwa Dulla katika siku za karibuni.

1. Kosa la kwanza analofanya Mbabe ni ile kukubali kutumika sana na mapromota wetu bila ya kuheshimu misingi ya mchezo wenyewe. Hapa jamaa amekubali kucheza kila pambano analoandaliwa, yaani yeye ukimuonesha pesa tu bila kujali Mara ya mwisho amepigana lini na bondia gani anaenda kupambana naye yeye anakubali tu.

Ilivyo kwa kawaida bondia na hasa wa hizi ngumi za uzito wa juu hapigani zaidi ya mapambano mawili kwa mwaka.

Hekima ya kutokupigana hovyo ni kumpa wasaa bondia kufanya mazoezi ya kutosha ili kujiimarisha katika angle zote za mchezo kama vile pumzi, kukwepa, punching, speed ya ngumi, stamina, ustahimilivu na MENGINEYO, lakini pia humpa fursa bondia kumsoma mpinzani wake anayetarajia kupambana naye akitafuta udhaifu au uiamara wa mpinzani na kujipanga kutumika vigezo hivyo kushinda au ikiwezekana kumkataa au kuchelewesha pambano ili kujipa nafasi ya kujipanga.

Bondia wetu Mbabe tangu Mara ya kwanza alipo draw na Kiduku hajajipa muda wa kutosha kufanyia kazi mapungufu yaliyomponza.

Yaani baada ya ile draw na Kiduku Mara ya kwanza mapambano yote Sita aliyocheza manne yote kadundwa(Kiduku mara mbili) kenda nje kapigwa na Jana Tena kapigwa, alishinda moja tu. Hii si sawa kibiashara kama anazingatia hilo.

Ndani ya muda mfupi kucheza mapambano sita halafu ukatengeneza rekodi za kupoteza zaidi hakuna kampuni ambao itashawishika kukupa mkataba wa kutangaza bidhaa zao.

Najua sababu ya yeye kukubali mapambano hayo ni NJAA, lakini naamini akijipanga na kupigana kwa malengo na mipango pesa atapata nyingi zaidi ya hizo za kusubiri kuumizwa kwa sababu licha ya mikataba ya makampuni lakini pia hata mabondia wakubwa watahitaji kuweka Mzigo mkubwa kumshawishi kucheza naye.

Bondia usikubali kuwa 'obvious' juu ya ulingo, tufanye mashabiki tuwe na hamu ya kukuona, yaani tukumis hata tukisikia unacheza bila kujali unacheza na nani tuje kukuona tu.

Pengine hapa pia utapata faida nyingine kwanini bondia Mwakinyo huwa hataki haya mapambano ya rejareja, anatazama mambo mengi, rekodi ni muhimu zaidi kibiashara na heshima kuliko kukubali kucheza na mabondia ambao hujapata muda wa kuwasoma na kujiandaa kupambana nao(huyu bondia aliyempiga Mbabe hakuwa kwenye ratiba ya pambano naye amelazimika kucheza naye baada ya yule aliyepangwa awali kushindwa kuja kwa sababu zilizoelezwa.)

2. Kutokujua thamani yake
Ukishakuwa bondia ni kama mwanamuziki, mapromota na wajanja wengine watakutumia kwa manufaa huku wakikulipa kiduchu na wao wakikusanya mafwedha zaidi ya asilimia tisini kukuzidi. Haya mambo ndo aliyakaa mdogo wangu Diamond na Leo ndo kama unavyomuona yuko juu.

Ukimtazama bondia Mayweather yeye Ana kampuni yake binafsi ya Promotion anayoitumia kuandaa na kusimamia mapambano yake na ya mabondia wengine ikiwemo chipukizi walio chini yake.

Dulla kwa sasa kwa kuzingatia brand yake aliyoitengeneza kwa jasho na damu nadhani anapaswa kuwa na kampuni yake binafsi itakayomuandalia mapambano na kusimamia mapambano ya vijana au mabondia wengine.

Hivi unakumbuka Mayweather juzi Kati alipo andaa lile pambano lake na yule Dogo wa Kijapani asiye na Jina kabisa? Mayweather kwa sasa anaweza kupigana na yeyote lakini ile akili ya kimarekani inamnufaisha kwa kutokubali kucheza na yeyote ambaye anahisi anaweza kuchafua rekodi yake kama pesa tayari anazo.

Unajua ukishinda mapambano mfululizo bila kujali umemshinda nani kisaikolojia hata wewe mwenyewe inakuongezwa nguvu na kujiamini lakini pia na heshima, lakini ukishinda mfululizo wewe mwenyewe utakuwa hakimu wa kujihukumu kwamba umeshuka kiwango na hatimaye hata ukipata pambano jepesi unakuwa na ile hamu ya kutaka kudhihirisha uwezo wako kwa nguvu, unakumbuka pambano LAKE Dulla na Kiduku jamaa alifanikiwa kumstukiza Kiduku na ngumi ikamwangusha, yeye akajua kamaliza na kuinua mikono hewani akishangilia, na hata aliporudi raundi iliyofuata akawa na pupa ya kumaliza pambano kwa KO na kumbe mwenzake ameenda mapumziko kajiuliza alipokosea akajirekebisha akauteka mchezo na hatimaye akashinda.

3. Timu ya ufundi
Sizungumzii wachawi, nazungumzia kocha na wataalamu wanaomzunguka Mbabe(kama anao). Kimsingi katika mchezo wowote kama timu yenu inapoteza michezo mfululizo lawama huelekezwa kwa mwalimu na timu yote ya ufundi.

Huku kwenye ngumi pia zipo timu za ufundi, hawa ni waalimu na washauri masuala ya vyakula na vinywaji, maisha binafsi, saikolojia nakadharika.

Binafsi nahisi Sasa imefika WAKATI dulla aitazame upya timu yake ya ufundi inayomzunguka, asikubali kuishi kwa mazoea, kwangu mimi mwalimu wake kama bado anamtumia yuleyule wa tangu mchezo wa awali na Kiduku ameshathibitisha kutokuwa Tena na uwezo kumsaidia kushinda.

Na hii si kwa Dulla tu, hata kwa swahiba yake Kiduku naye aitazame upya kwenye kioo na ajiulize kama kweli anakidhi matarajio ya mashabiki wake, michezo mingi anashindwa kwa Points ilhali anatawala kwa kipindi chote cha mchezo na pia bado hawajathihitisha uwezo wao kwa kucheza nje ya nchi na kurudi na mkanda kama alivyokuwa akifanya Snake BOY matumla akiondoka hapa na baba yake tu, Tena kimya bila ya kelele na kesho waziri anaenda kupokea uwanja wa ndege akiwa na mkanda.

Hawa mabondia wetu wameshaonesha vipaji vyao, lakini nikiri bado uwekezaji wa dhati kabisa juu ya vipaji vyao haujafanyiwa.

Kwenye Gym alivyokuwa akiitumia Muhammad Ali kulikuwa na maneno yanasomeka "Mabingwa wanaandaliwa, hawazaliwi tu" ikimaanisha kwamba kipaji pekee hakikufanyi kuwa bingwa bali ni namna utakavyojiandaa kukitumia kipaji chako.

Ushauri wangu kwa Mbabe kwa sasa ebu asimame kidogo mapambano haya ya kujiandaa wiki mbili then atumie muda mwingi kufanya mazoezi na kwa kutumia timu yake aandae Project ya 'The return of Mbabe' akijiandalia mapambano yake walau matatu ambao a mabondia wake ameshawasoma na anawajua uwezo wao kwamba hawatamsumbua.

Hivi unafahamu ni miaka zaidi ya mitano Sasa AJ na MNYAMA Deontay Wilder wanasimangana tu kwenye mitandao, Kuna mmoja kati Yao anamkwepa mwenzake, lakini Kuna siku watazichapa tu wakati ukifika, ni suala la Muda tu.

Hata Evander Holyfield hakukurupuka, alitumia muda wa zaidi ya miaka kumi akimsoma TU Tyson kabla ya kukubali kupambana nae, wakati Tyson akiwa hot yeye Evander alikuwa akikaa pembeni ya ulingo akimsoma na hatimaye alifanikiwa.
 
Tatizo la Dulla Mbabe ni hili:

Sishangazwi kupigwa, ni matokeo kwenye ngumi kama ilivyo kwenye michezo yote kushinda na kushindwa ndio mchezo.

Ila kushinda na kushindwa kote kuna sababu na ni hapa ndipo ninapopata mchache ya kusema kuhusu kuboronga kwa Dulla katika siku za karibuni.

1. Kosa la kwanza analofanya Mbabe ni ile kukubali kutumika sana na mapromota wetu bila ya kuheshimu misingi ya mchezo wenyewe. Hapa jamaa amekubali kucheza kila pambano analoandaliwa, yaani yeye ukimuonesha pesa tu bila kujali Mara ya mwisho amepigana lini na bondia gani anaenda kupambana naye yeye anakubali tu.

Ilivyo kwa kawaida bondia na hasa wa hizi ngumi za uzito wa juu hapigani zaidi ya mapambano mawili kwa mwaka.

Hekima ya kutokupigana hovyo ni kumpa wasaa bondia kufanya mazoezi ya kutosha ili kujiimarisha katika angle zote za mchezo kama vile pumzi, kukwepa, punching, speed ya ngumi, stamina, ustahimilivu na MENGINEYO, lakini pia humpa fursa bondia kumsoma mpinzani wake anayetarajia kupambana naye akitafuta udhaifu au uiamara wa mpinzani na kujipanga kutumika vigezo hivyo kushinda au ikiwezekana kumkataa au kuchelewesha pambano ili kujipa nafasi ya kujipanga.
Bondia wetu Mbabe tangu Mara ya kwanza alipo draw na Kiduku hajajipa muda wa kutosha kufanyia kazi mapungufu yaliyomponza.

Yaani baada ya ile draw na Kiduku Mara ya kwanza mapambano yote Sita aliyocheza manne yote kadundwa(Kiduku mara mbili) kenda nje kapigwa na Jana Tena kapigwa, alishinda moja tu. Hii si sawa kibiashara kama anazingatia hilo.

Ndani ya muda mfupi kucheza mapambano sita halafu ukatengeneza rekodi za kupoteza zaidi hakuna kampuni ambao itashawishika kukupa mkataba wa kutangaza bidhaa zao.

Najua sababu ya yeye kukubali mapambano hayo ni NJAA, lakini naamini akijipanga na kupigana kwa malengo na mipango pesa atapata nyingi zaidi ya hizo za kusubiri kuumizwa kwa sababu licha ya mikataba ya makampuni lakini pia hata mabondia wakubwa watahitaji kuweka Mzigo mkubwa kumshawishi kucheza naye.

Bondia usikubali kuwa 'obvious' juu ya ulingo, tufanye mashabiki tuwe na hamu ya kukuona, yaani tukumis hata tukisikia unacheza bila kujali unacheza na nani tuje kukuona tu.

Pengine hapa pia utapata faida nyingine kwanini bondia Mwakinyo huwa hataki haya mapambano ya rejareja, anatazama mambo mengi, rekodi ni muhimu zaidi kibiashara na heshima kuliko kukubali kucheza na mabondia ambao hujapata muda wa kuwasoma na kujiandaa kupambana nao(huyu bondia aliyempiga Mbabe hakuwa kwenye ratiba ya pambano naye amelazimika kucheza naye baada ya yule aliyepangwa awali kushindwa kuja kwa sababu zilizoelezwa.)

2. Kutokujua thamani yake:

Ukishakiwa bondia ni kama mwanamuziki, mapromota na wajanja wengine watakutumia kwa manufaa huku wakikulipa kiduchu na wao wakikusanya mafwedha zaidi ya asilimia tisini kukuzidi. Haya mambo ndo aliyakaa mdogo wangu Diamond na Leo ndo kama unavyomuona yuko juu.

3. Timu ya ufundi:

Mdomo ndio huwa kinamponza

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Sababu Zipo nyingi....ingine ni Kushabikia timu Moja na Mama J.....! Ukiwa shabiki wa timu Anayoshabikia huyo mama basi Ujue hiyo Mbungi Hutoboi....!
Sasa Dulla Mshabiki Wa Ile timu Ya Mama J.
 
Gazeti

Mapambano mawili kwa mwaka!!harafu hiyo miezi mingine unakula nini!!?
Tofauti na hapa kwetu,kwa wenzetu majuu,ukicheza mchezo mmoja tu hata kama umeshindwa,mpunga wake ni mrefu,unajenga majumba,unanunua ndinga za kutosha,unaingia mikataba kibao ya pesa ndefu.huku kwetu ni pangu pakavu tia mchuzi,lazima upigane kama kuku kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom