The Dude
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 1,029
- 453
Kila uchao kuna mapya kuhusu sakata la DC Igunga na Chadema.
Hadi sasa Bakwata washalaani huyo mama kuvuliwa Hijab lakini Chadema kupitia Tundu lisu wakadai si kweli,yule mama hakuvaa hijab,yani ile haikuwa hijab.
Sasa debate iliyope ni kweli je alivaa hijab?Mi siifahamu hijab naomba mnisaidie sababu nahisi dini na siasa na uhalifu vinachanganywa sana sasa na hii ni disadvantage kwa Chadema..maana mama alishasema alitaka kubakwa na aliacha mtupu..je hijab ni nini?Yule mama alivaa hijab?