Hivi hijab ni nini?Ikoje?Dc Igunga alivaa hijab?

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Kila uchao kuna mapya kuhusu sakata la DC Igunga na Chadema.
Hadi sasa Bakwata washalaani huyo mama kuvuliwa Hijab lakini Chadema kupitia Tundu lisu wakadai si kweli,yule mama hakuvaa hijab,yani ile haikuwa hijab.
Sasa debate iliyope ni kweli je alivaa hijab?Mi siifahamu hijab naomba mnisaidie sababu nahisi dini na siasa na uhalifu vinachanganywa sana sasa na hii ni disadvantage kwa Chadema..maana mama alishasema alitaka kubakwa na aliacha mtupu..je hijab ni nini?Yule mama alivaa hijab?
 
Huyo Tundu Lissu alitamka hasa kuwa ile si hijab? Hiyo itakuwa kali sana, mwanasiasa kuanza kutoa definition kuhusiana na masuala ya dini.
 
ni vazi la mwanamke yoyote. kwa kuwa muislam anajua faida yake ndio maana anavaa
Hijab ndo hii hapa!!! acha porojo!!

images
 
Kuna umuhimu wa kuboresha vyuo vikuu vya kiislamu ili viongozi wengi wa Bakwata in future wawe wasomi,Hijab ni vazi lakini sio wote wanaovaa Hijab ni waislam,pia sio waislamu wote wanaovaa Hijab.Kuvaa Hijab au kutovaa hijab kwa mtu isiwe issue kwani wengi tu wanaofanya maasi makubwa wakiwa wamevaa hizo nguo,cha kuangalia hapa ni je lengo la waliomkamata ilikuwa ni kumvua hijab au alituhumiwa kwa kuvaa hijab,nafikiri kuvuliwa hijab no consequencial if not acidental.Hao wanazuoni wa Kiislamu wanaoshabikia hii issue ya Hijab ningewaona wastaarabu sana kama wangemkemea huyo DC kwa kwenda kufanya maovu huku akiwa amevaa Hijab.Ni sawa na mwana dada anayeshikwa ugoni huku kavaa Hijab,badala ya kumlaumu huyo mdada kwa kufanya uzinifu akiwa amevaa Hijab ,wewe unamlaumu mumewe aliyemkamata ugoni na kusababisha Hijab ichanike,shame to every one who is capitalizing on this Hijab issue.[/FONT]
532886]
Muslim Man.jpg
Kuna umuhimu wa kuboresha vyuo vikuu vya kiislamu ili viongozi wengi wa Bakwata in future wawe wasomi,Hijab ni vazi lakini sio wote wanaovaa Hijab ni waislam,pia sio waislamu wote wanaovaa Hijab.Kuvaa Hijab au kutovaa hijab kwa mtu isiwe issue kwani wengi tu wanaofanya maasi makubwa wakiwa wamevaa hizo nguo,cha kuangalia hapa ni je lengo la waliomkamata ilikuwa ni kumvua hijab au alituhumiwa kwa kuvaa hijab,nafikiri kuvuliwa hijab no consequencial if not acidental.Hao wanazuoni wa Kiislamu wanaoshabikia hii issue ya Hijab ningewaona wastaarabu sana kama wangemkemea huyo DC kwa kwenda kufanya maovu huku akiwa amevaa Hijab.Ni sawa na mwana dada anayeshikwa ugoni huku kavaa Hijab,badala ya kumlaumu huyo mdada kwa kufanya uzinifu akiwa amevaa Hijab ,wewe unamlaumu mumewe aliyemkamata ugoni na kusababisha Hijab ichanike,shame to every one who is capitalizing on this Hijab issue.
 
Tafadhali:Kuna umuhimu wa kuboresha vyuo vikuu vya kiislamu ili viongozi wengi wa Bakwata in future wawe wasomi,Hijab ni vazi lakini sio wote wanaovaa Hijab ni waislam,pia sio waislamu wote wanaovaa Hijab.Kuvaa Hijab au kutovaa hijab kwa mtu isiwe issue kwani wengi tu wanaofanya maasi makubwa wakiwa wamevaa hizo nguo,cha kuangalia hapa ni je lengo la waliomkamata ilikuwa ni kumvua hijab au alituhumiwa kwa kuvaa hijab,nafikiri kuvuliwa hijab no consequencial if not acidental.Hao wanazuoni wa Kiislamu wanaoshabikia hii issue ya Hijab ningewaona wastaarabu sana kama wangemkemea huyo DC kwa kwenda kufanya maovu huku akiwa amevaa Hijab.Ni sawa na mwana dada anayeshikwa ugoni huku kavaa Hijab,badala ya kumlaumu huyo mdada kwa kufanya uzinifu akiwa amevaa Hijab ,wewe unamlaumu mumewe aliyemkamata ugoni na kusababisha Hijab ichanike,shame to every one who is capitalizing on this Hijab issue.
 
rejea tukio kwanza utapata jibu. hivi unapomuona mumeo au mkeo ana zini na mtu mwengine na wewe utatafuta mtu uzini naye kama adhabu yake au utamkanya? usipandishe uovu kwa uovu. uovu hulipwa kwa wema. hata kama alikuwa anafanya uovu ni kwa mujibu wa imani yake na siyo uvunjaji wa sheria za nchi kama walivyofanya wafuasi wa chadema.
 
Huyo Tundu Lissu alitamka hasa kuwa ile si hijab? Hiyo itakuwa kali sana, mwanasiasa kuanza kutoa definition kuhusiana na masuala ya dini.
Vipi si ajabu watu wa dini kuanza kutolea maelezo maswala ya kisiasa na uhalifu wa kisiasa??
 
rejea tukio kwanza utapata jibu. hivi unapomuona mumeo au mkeo ana zini na mtu mwengine na wewe utatafuta mtu uzini naye kama adhabu yake au utamkanya? usipandishe uovu kwa uovu. uovu hulipwa kwa wema. hata kama alikuwa anafanya uovu ni kwa mujibu wa imani yake na siyo uvunjaji wa sheria za nchi kama walivyofanya wafuasi wa chadema.
Hapo kwenye red unamaanisha DC mbumbumbu alikua anafanya uhalifu kwa mujibu wa imani yake ya kiislam??
 
.......haikua hojab ilikua kavaa kiremba/mtandio....
.......usiniulize tofauti ya hijab/kiremba na mtandio?
 
Hana authority ya kutoa definition ya hijab.

Alirejelea maandiko?
Je viongozi wa dini wana authorty ya kusema tukio flani ni kosa ama si kosa? kuvuliwa hijab kumezibitishwa na mahakama kuwa ni kosa? nini kazi ya mahakama?
 
Hijab ndo hii hapa!!! acha porojo!!

images

Hii siyo Hijabu, inaitwa 'NIKAB'. Hijab ni ule mtandio unaofunika kichwa na kuacha sura ikiwa wazi.

Kwa wanasiasa, ingekuwa bora wakanyamaza, haya malumbano yanachochea hisia za waumini na yakiendelzwa huenda wakaanzia hapo kudai na mengine kwa njia ambayo sio wote tutaifurahia.
 
Tatizo tunakariri sana,
Tunashindwa kutofautisha kati ya Nikab, Hijab, Ushungi & Kilemba.
Kama kinavaliwa kwa ajili ya kuficha nywele labda chafu haziaoshwa au mbaya hicho kitakua kilemba tu, na sio Hijab.
Na kama mvaaji hua anavaa kwa namna ya kuacha baadhi ya Nywele zikionekana nacho pia si Hijab.
Uihifadhi wa mwanamke haupo kwenye nywele (kichwa) tu, bali na maungo mengine ya mwili, sasa kama mvaaji alivaa kichwani huku sehemu zingine kama vile mikono (sio viganja) iko wazi haiwezi kua hijab.
Au kama kitambaa chenyewe ni kilaini/chepesi kiasi kwamba kinaruhusu mtu kuona mpaka kilichomo ndani yake (mfano nywele) nacho hakiwezi kuitwa hijab.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom