Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,891
- 31,675
Inategemea sasa.Kwahyo wewe ukipatwa na matatizo solution yako ni kwa waganga na wachawi.?
Matatizo ya kijini kwa nini nisiwatafute waganga wanisaidie?
Inategemea sasa.Kwahyo wewe ukipatwa na matatizo solution yako ni kwa waganga na wachawi.?
Yan hvyo hvyoSASA NDUGU ILE NAFASI ULIYONIOMBA YA KIJANA WETU KUJIUNGA NA JESHI IMEPATIKANA TUWASILIANE LEO MAPEMA KAMA BADO UNAHITAJI
Hawa ndo wengi... matapeli kabisa

, tuunde tume ya kuteketeza hawa washirikinawale si wanaombaga majina matatu? huwa nawatumia majina ya wachezaji wa Mbeya City au Lipuli Fc...wanakoma na mimiKuna wale wengine wanakutumia ile nafas ya jeshi uliyoomba imepatikana
Wanakera kweli
wale si wanaombaga majina matatu? huwa nawatumia majina ya wachezaji wa Mbeya City au Lipuli Fc...wanakoma na mimi

Me simu zangu zote mbili mambo ni hizo hizo mtu unajiuliza wamejuaje no zako jamanAisee kazi kweli
Basi wanabuni vizuri jaman mana hawakosei kabisaNilijua ni mie tu ndo najiulizaga hayo maswali!!!! Hao ni matapeli tu wanakaa wanabuni namba zao wanatuma hizo msg.....
Hata mimi nimeipokea zaidi ya mara tatuKuna wale wengine wanakutumia ile nafas ya jeshi uliyoomba imepatikana
Wanakera kweli
nipo aisee mkuuMkuuu kitambo upo broo???