Hivi hawa wanapata wapi namba zetu?

Hivi hawa wanapata wapi namba zetu?

View attachment 580801 kuna mwingine nae tena alinitumia mfano wa huo hapo ,,nikamtukana alinitukana hiyo akaniambia nimtumie majina yangu matatu kama hakuna uchawi maana nilimuambia kuwa hakuna uchawi ,,nikamuambia kama we mchawi sijui mganga si uroge tu mpaka majina yangu we si mchawi bana roga tu,akaniambia nitakuja nikubake SAA sita mchana nikamuambia poa karibu aisee,,mpaka Leo sijaona mtu wala non nikamkubusha mbona hajaja hahaa hajanijibu mpaka Leo,,msiamin haya mambo aise
7e0f9bd591352f21fdf0bdb53b847102.jpg
 
Pengine na umri pia unachangia.

Ngoja siku upate misukosuko ya maisha halafu uone kama utawatafuta au laah.

Ila hao wanaotuma hizo texts ni matapeli ,lakini waganga wa kweli wapo na uchawi upo na hata kwenye vitabu vya dini vimethibitisha hilo.

Na hata wachungaji asilimia kubwa nao ni wachawi.
Ni kweli mkuu na Masheikh wengi ni wabeba majini
 
Pengine na umri pia unachangia.

Ngoja siku upate misukosuko ya maisha halafu uone kama utawatafuta au laah.

Ila hao wanaotuma hizo texts ni matapeli ,lakini waganga wa kweli wapo na uchawi upo na hata kwenye vitabu vya dini vimethibitisha hilo.

Na hata wachungaji asilimia kubwa nao ni wachawi.
View attachment 580801 kuna mwingine nae tena alinitumia mfano wa huo hapo ,,nikamtukana alinitukana hiyo akaniambia nimtumie majina yangu matatu kama hakuna uchawi maana nilimuambia kuwa hakuna uchawi ,,nikamuambia kama we mchawi sijui mganga si uroge tu mpaka majina yangu we si mchawi bana roga tu,akaniambia nitakuja nikubake SAA sita mchana nikamuambia poa karibu aisee,,mpaka Leo sijaona mtu wala non nikamkubusha mbona hajaja hahaa hajanijibu mpaka Leo,,msiamin haya mambo aise
Mpate Bwn Yesu akulinde na kila aina yoyote ya baraa mikosi laana uchawi majini mapepo na vitisho.
Yesu ni Bwn juu ya vitu vyote.
Ubarikiwe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom