Hivi hawa wanapata wapi namba zetu?

Hivi hawa wanapata wapi namba zetu?

Pole ila huyu naye anajitahidi kuigiza your commenting. Anakuwa wa kwanza halafu anajibu short kama wewe. Mimi ndo maana sina avatar hivyo siyo rahisi kuniibia.
Halafu anajibu shiti balaa, majibu yake kiukweli sio ya kuridhisha lugha chafu na matusi juu mpaka kala BAN

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Hivi Ndagu ni nini...???

Screenshot_2017-09-03-16-39-51.png


Screenshot_2017-09-03-16-40-57.png

Halafu wengi ni wasukuma, wanasemaga hivo hata lafudhi yao inasomeka kingosha
 
Msaada kwwnye tuta, hivi wakiagiza kuku au mbuzi, wakishachinjwa nyama inakwenda wapi au inakua mboga ya mtaalam na family yake
 
Walishanitumia nilizifuta hapo. Hapo ila wakinitumia tena ni wanakula matusi ya nguoni
 
ulikita kufurahi zaidi mtu yoyote achukue iyo namba am-text babu umekosea namba ila nami nna shida ya pesa naomba nisaidie utaona anvyo hangaika.

siku moja nimemsumbua alinipigia simu zaidi ya mara 30 nkacheka sana mganga gani? anamkimbilia mgonjwa ivi
 
Wanazitoa huko fesibuku na WhatsApp kwenye magroup kama huja hide privacy yako.... 🙂🙂😉
 
Hivi kama mganga una uwezo wa kumpa mtu mali kwanini ujitangazee?nafikir nia na lengo la kujitangaza ni ili upate pesa,kwanini usichukue hixo pesa wewe?hayo mapete ya bahati wewe hutaki?achani utapeli yesu anatosha.
 
Anhaa kumbee

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Umeharibu Avatar yako🙂!! Acha ileile tu🙂
sawa mkuu..ila ile kuna watu wameikwapua ndio maana nimeweka hii nijitofautishe nao kwa maana wanavyofanya watu wanazani na zile ni ID zangu kumbe sio
 
Ajira hamna watu wanatengeneza ajira za vitisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom