Hivi hawa wanapata wapi namba zetu?

Hivi hawa wanapata wapi namba zetu?

sawa mkuu..ila ile kuna watu wameikwapua ndio maana nimeweka hii nijitofautishe nao kwa maana wanavyofanya watu wanazani na zile ni ID zangu kumbe sio
Duuh! Nikajuaga ni ww umekuja kivingine tu na umechange username tu.. 🙂
 
Mm jana nimepata msg ya mganga kwny no ya voda ananiambia mambo ya pete ya bahati sijui kumtuliza mpenzi nikamwambia mimi hata mpenzi sina
Hahshahaha mimi walniambia eti wanipe dawa ya kuongeza biashara niliyonayo nikajibu sina hata biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf unajifanyaga mtu in reality bonge la nyooko..Unaji
Mm jana nimepata msg ya mganga kwny no ya voda ananiambia mambo ya pete ya bahati sijui kumtuliza mpenzi nikamwambia mimi hata mpenzi sina
 
Niliwahi kulaumiwa eti tangu nitajirike sijawahi kupeleka shukran kwa mizimu
 
duh, maisha yanapiga, matapeli wanaongezeka kwa kasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom