Hivi hii kasi ya kukimbilia vyeo ndani ya CCM familia ya Rais inamaana gani??
Au yote majibu??
- Je kuna kitu wanajilinda baada ya rais kustaafu??
- Je wanahitaji kuwa viongozi baadae??
- Au ni kumuiga Biliclinton na mkewake Hirary??
Watakuwa wanataka kulinda biashara zao walizoanzisha ikulu.

Binafsi sioni tatizo lolote kwa mke mtoto na hata mjukuu kugombea nafasi ya Uongozi. nachoweza kupinga ni kuteuliwa kwa watu hawa kushika uongozi pasipo kupitia mchakato hivyo hata Mama, Baba, mtoto au Mkewe Mbowe, Dr.Slaa, Lissu, Zitto, Lipumba, Mrema wote wanaweza kugombea nafasi ndani ya vyama vyao au kitaifa. Tutakao wachagua hawa nini sisi wenyewe na kwa vigezo vilivyopo.
ta
Jk uchaguzi wa mwaka 2010 kama sii Mkewena mwanaye kusaidia kampeni zake angeanguka vibaya sana maana alisusiwa na maadam chama kiliwapa nafasi hiyo na ushindi ukapatikana basi ndio hivyo tena inabidi tukubali matokeo. Tulomchagua JK pamoja na kwamba familia yake ilishiriki ni sisi wenyewe..
Watakuwa wanataka kulinda biashara zao walizoanzisha ikulu.