Hivi First Lady na mtoto wa Rais..........ufafanuzi!!

Status
Not open for further replies.
B.m.w.=vituo vya mafuta,maloro ya kupeleka mafuta nje,wamma,hotel ya kitalii manyara nk.
 
ninachoshangaa mimi ni kutokutokea mwanachama yeyote wa chama cha mapinduzi kushindana nao walikopitishwa.
Kwa mtazamo wangu hii haileti picha nzuri kwa first lady na kijana kugombea bila kuwa na mshindani .
Si amini kabisa kwamba blindi na bagamoyo hakuna wanachama wa ccm wenye uwezo na nia ya kuomba kupitishwa kugombea hizo nafasi.
Nakishauri chama cha mapinduzi kiamue kurudiwa upya kwa mchakato wa kuomba kugombea nafasi hizo upya kote kule ambapo watu wamepitishwa bila kuwa na mshindani naamini kuna namna imefanywa , aidha wanachama pia wahamasishwe kugombea nafasi hizo hii ya watu kupitishwa bila kupita inaleta picha mbaya sana kwenye chama
 
Mimi naona wanajaribu kutafuta positions na popularity even after JK,s Presidential term. Lakini kama ni kufilisiwa watafilisiwa maana CCM itabidi ivunjwe kwa kutumia sheria mpya ya kukomesha rushwa na ufisadi ambayo itapaswa kutungwa siku 100 ya utawala wa CDM.

Inabidi chadema mpimwe akili, kwa hali hii mpaka mnachukiza yani.

Chadema mna wakati mgumu wa kujitangaza kwenye maeneo mengi, bado watu hawana imani na nyinyi, bado hamjaweza kuweka ushindani bungeni. Halafu mnatapika pumba kama hizi hapa?

Kuweni na mawazo constructive mnapotoa maoni yenu katika mitandao kama hii, maana kuna watu wanayasoma na wanazidi kuwawekea wasiwasi jinsi mtakavyo endesha nchi kama mkipata ridhaa ya kutwaa dola.

BADILIKA UBADILI TAIFA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom