Hivi First Lady na mtoto wa Rais..........ufafanuzi!!

Status
Not open for further replies.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Hivi hii kasi ya kukimbilia vyeo ndani ya CCM familia ya Rais inamaana gani??
  • Je kuna kitu wanajilinda baada ya rais kustaafu??
  • Je wanahitaji kuwa viongozi baadae??
  • Au ni kumuiga Biliclinton na mkewake Hirary??
Au yote majibu??
 
Kweli sioni tukilisema hili kwa nguvu ya kutosha lakini ni kitu cha ajabu kweli!
 
ni kulinda biashara zao,eg Riz ni bilionea mwenye nguvu ka babaake,mkewe anamamlaka ya kuzindua hata vituo vya polisi.
hoplec.
 
Mimi hili kwangu naona linahitaji miwani mipana mimi sijaona maisha ya uraisi ya kasimishwa!!kwamaana JK hatakuwa ajasitaafu siasa kwakuwa atakuwa anaendesha nchi kwa remote ila sijui...ila kwa CCM hata Hadija kopa alikuwa mjumbe!!lol!
 
Hivi hii kasi ya kukimbilia vyeo ndani ya CCM familia ya Rais inamaana gani??
  • Je kuna kitu wanajilinda baada ya rais kustaafu??
  • Je wanahitaji kuwa viongozi baadae??
  • Au ni kumuiga Biliclinton na mkewake Hirary??
Au yote majibu??

Hujui Tanzania bado utawala wa kichifu au kifalme upo? Umeanzia awamu ya nne!!!
 
Duh!! yaani ,we acha tu. Ngoja tumsubiri bw MUDA. huwa hadanganyi, ni mkweli mno. TIME WILL TELL.
 
wanataka kusecure mali na biashara za wizi walizokwapua na kuanzisha wakati dhaifu akiwa ikulu hilo liko wazi! ila kumfananisha clinton na mkewe hillary na hawa vilaza ni bonge la tusi. siamini yani hillary afanane na mama wa mipasho, tumeelewanaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh! haiwezekani
 
Binafsi sioni tatizo lolote kwa mke mtoto na hata mjukuu kugombea nafasi ya Uongozi. nachoweza kupinga ni kuteuliwa kwa watu hawa kushika uongozi pasipo kupitia mchakato hivyo hata Mama, Baba, mtoto au Mkewe Mbowe, Dr.Slaa, Lissu, Zitto, Lipumba, Mrema wote wanaweza kugombea nafasi ndani ya vyama vyao au kitaifa. Tutakao wachagua hawa nini sisi wenyewe na kwa vigezo vilivyopo.
ta
Jk uchaguzi wa mwaka 2010 kama sii Mkewena mwanaye kusaidia kampeni zake angeanguka vibaya sana maana alisusiwa na maadam chama kiliwapa nafasi hiyo na ushindi ukapatikana basi ndio hivyo tena inabidi tukubali matokeo. Tulomchagua JK pamoja na kwamba familia yake ilishiriki ni sisi wenyewe..
 
Mimi naona wanajaribu kutafuta positions na popularity even after JK,s Presidential term. Lakini kama ni kufilisiwa watafilisiwa maana CCM itabidi ivunjwe kwa kutumia sheria mpya ya kukomesha rushwa na ufisadi ambayo itapaswa kutungwa siku 100 ya utawala wa CDM.
 
Hivi hii kasi ya kukimbilia vyeo ndani ya CCM familia ya Rais inamaana gani??
  • Je kuna kitu wanajilinda baada ya rais kustaafu??
  • Je wanahitaji kuwa viongozi baadae??
  • Au ni kumuiga Biliclinton na mkewake Hirary??
Au yote majibu??

si kwa rais tu,wanasiasa wengi wanapenda kubebana,,,,,si ccm si chadema si cuf,,
 
Binafsi sioni tatizo lolote kwa mke mtoto na hata mjukuu kugombea nafasi ya Uongozi. nachoweza kupinga ni kuteuliwa kwa watu hawa kushika uongozi pasipo kupitia mchakato hivyo hata Mama, Baba, mtoto au Mkewe Mbowe, Dr.Slaa, Lissu, Zitto, Lipumba, Mrema wote wanaweza kugombea nafasi ndani ya vyama vyao au kitaifa. Tutakao wachagua hawa nini sisi wenyewe na kwa vigezo vilivyopo.
ta
Jk uchaguzi wa mwaka 2010 kama sii Mkewena mwanaye kusaidia kampeni zake angeanguka vibaya sana maana alisusiwa na maadam chama kiliwapa nafasi hiyo na ushindi ukapatikana basi ndio hivyo tena inabidi tukubali matokeo. Tulomchagua JK pamoja na kwamba familia yake ilishiriki ni sisi wenyewe..

ni sis wenyewe pamoja na usalama wa taifa,kwa mujibu wa kubenea
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom