Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

Nakumbuka zogo LA mwanza jamani juu ya waisilam na wakristo kuusu kuchinja daaaah mimi nachinja mwenyewe eti kunasiku nyumban akikuja mgen muislam basi nikaambiwa nipeleke kuku kushinja kwa said yani ninyumba ya 10 nikaona huo ni upuuzi nikazunguka nyama tuuu nikafanya yangu
 
Ninasoma ile Qur-ani ambayo nyie mwaisoma...Lete dalili kuthibitisha ninavyokupotosheni.....
Ukitaka faida zaidi google "103: Permissibility of eating meat slaughtered by Christians and Jews"

google imeanza lini?? Wataka leta haya mambo ya kuuchafua msahafu mtakatifu hapa?? Msahafu haukuletwa na google yako ujue. Kelb sana tu
 
Umejibu vizuri mkuu!
 
Point well made fellow
 
Mi nadhani wanaruhusiwa kuchinja, ila ili kujenga mahusiano mema ya kijamii huwaalika ndg zao wa kiislam...
 
Mm siwez kununua mbuzi wangu tena kwa hela yangu halaf unipangie wa kuchinja! Nasema haiwezekani ! Kila mtu atachinja kilicho chake! Huu mchezo wa kuchunguliana lazima ukome!
 
google imeanza lini?? Wataka leta haya mambo ya kuuchafua msahafu mtakatifu hapa?? Msahafu haukuletwa na google yako ujue. Kelb sana tu
C ktk mafunzo ya dini ya uislamu kutukana hata kama upo nyuma ya keypad/keyboard...hiyo niliyokuwekea hapo ni fatawa ungefaidika mno kama ungeipitia.
 
The food as opposed to slaughted meat! Chakula hakuna shida. Yaani ugali na kisamvu au mchicha au samaki au maharage hauna shida. Shida inakuja kwenye mbuzi et al.
 
Mbona mie juzi weekend nimechinja mbuzi, hizo imani zenu zimekuja juzi tu ndio muone zina maaana sana hadi kwenye mambo ya kawaida yaliyokuwa yanafanyika vizuri tu kabla
 
C ktk mafunzo ya dini ya uislamu kutukana hata kama upo nyuma ya keypad/keyboard...hiyo niliyokuwekea hapo ni fatawa ungefaidika mno kama ungeipitia.

kawafaidishe wagalatia wenzio. Nasoma msahafu sisomi ushuzi wa mgalatia
 
The food as opposed to slaughted meat! Chakula hakuna shida. Yaani ugali na kisamvu au mchicha au samaki au maharage hauna shida. Shida inakuja kwenye mbuzi et al.
wale ambao walishuhudia aya hiyo iliposhuka hawakufahamu hivyo unavyofahamu wewe. Wao walifahamu vyakula vyote ikiwemo vichinjwa.
 
Namsubiri kwa shauku yote alete hizo methali zlizoziskia vijiweni na sio aya kwa sababu aya hiyo haipo
Unauhakika haipo?
Soma Qur-aan. Hutakuta aya hata moja inayokataza kula kilichochinjwa na myahudi au mkiristo.

Bali utakuta aya inayoturuhusu kula vyakula vyao na kuwaoa wanawake wao walio wema na wabaki na dini yao
 
Mkuu CleverKING "haruhusiwa" maana yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…