Hivi dini ni imani au ni jina?

Hivi dini ni imani au ni jina?

Issa alizaliwa chini ya mtende wakati Yesu alizaliwa katika banda la mifugo.
Issa hakufa wakati Yesu Kristo alikufa na kufufuka na kupaa mbinguni.
Kwani mtende hauwezi kuwa ndani ya banda la mifugo ? Unaweza kuniambia Issa alizaliwa mji gani na Yesu mji gani ?

Hivi mtu akiwa amezaliwa Wilaya ya Ubungo na mwingine akasema amezalisa Dar. Vipi hali hii humfanya huyo mtu kuwa tofauti ?

Naomba unipe ushahidi wa Yesu kufa kisha akafufuka.
 
Napataga kigugumizi sana nikisikia mtu kabadili dini kisha anabadilisha na jina,eti jina la kiislam au la kikristo.

Kwani ukibaki na jina lako na kuendelea na ibada za kumuabudu Mungu kwani haikubaliki? Nimebahatika kwenda Japan,China na Russia. Nimekuta kuna waislaam wengi na wakristo, ila sijakuta mtu anaitwa Muhammad au William.

Kumjua mtu dini yake hadi umuulize lakini sio kwa jina. Sasa tunaomini hivyo tunakwama wapi?

Mkuu kwa maoni yangu, nikizungumzia kwa upande wa Kiisilamu kwa kadiri nijjuavyo ni kwamba mtume mtukufu Muhammad (saw) aliwanasihi Waisilamu wawape Watoto wao majina mazuri, maana yake ni hii kwamba jina LOLOTE zuri kutoka katika kabila, lugha na asili yoyote sio mwiko kwa muisilamu, majina mabaya mfano ni kama; kimavi, Mpigeni nk, majina mengine yaliyokatazwa katika Uisilamu ni yale majina ya Miungu ya kishirikina nk. Hivyo Uisilamu haujakataza watu kutumia majina yao ya asili pia haumzuii mtu kama akitaka kubadilisha jina lake.

Juu ya yote lazima tujue kwamba kuna majina yaliyotamalaki miongoni mwa Waisilamu, na kama nilivyosema, katika uisilamu sio dhambi mtu kubadilisha jina lake anapoona inafaa, sasa kama mtu anataka kubadilisha jina lake ili KWANZA atambulike kwamba yeye ni Muusilamu kupitia hilo jina basi hiyo sio shida na haijakatazwa, mfano hai ni huu; wakati fulani alikuja Mturuki mmoja kazini kwangu na baada ya mazungumzo naye akahitaji Contacts zangu, nilipomtajia jina langu tu swali la kwanza aliloniuliza ni; are you a Muslim ?? (Wewe ni muisilam ??)---- sasa hapo utaona faida ya jina kwamba unafahamika mapema dini yako hata kabla ya kudhihirisha matendo mengine ya utambulisho.
 
nashukuru

nashukuru kwa kuniita mkuu......kaka jurjani amemaliza kila kitu hapo chini..
allah akubariki na akuingize firdaws siku ya qiyamah pamoja na manabii na wakweli na mashuhadaa na watu wema na uzuri ulioje wa marafiki hao..
Allahumma Aamiin Aamiin Aamiin. Na wewe pia kaka yangu.
 
Uongo mwingine ni Issa aliongea akiwa mtoto mchanga wakati Yesu hakufanya hivyo.

Unaweza kuthibitisha kuna mtu alikufa badala ya Issa Bin Mariam?
Kwani mtende hauwezi kuwa ndani ya banda la mifugo ? Unaweza kuniambia Issa alizaliwa mji gani na Yesu mji gani ?

Hivi mtu akiwa amezaliwa Wilaya ya Ubungo na mwingine akasema amezalisa Dar. Vipi hali hii humfanya huyo mtu kuwa tofauti ?

Naomba unipe ushahidi wa Yesu kufa kisha akafufuka.
 
Uongo mwingine ni Issa aliongea akiwa mtoto mchanga wakati Yesu hakufanya hivyo.

Unaweza kuthibitisha kuna mtu alikufa badala ya Issa Bin Mariam?
Jibu kwanza maswali niliyo kuuliza.

Naweza kuthibitisha ya kuwa Yesu hakufa.

Mama yake Issa anaitwa nani na mama yake Yesu anaitwa nani ?
 
Huku kwetu alikuwepo bwana mmoja alibadili dini na jina akaitwa Mohamed Ally
 
Sijaona hoja yako Mzee!
Very simple,,yakobo inadaiwa alipewa jina israEl na mnyazi mungu,El ni jina la mungu aliekuwa akiabudiwa na wakaaji wa caanan kabla hata ya ujio wa Abraham caanan,
Swali ni iweje yakobo anapewa jina la mungu wa kipagani wa caanan?
 
8b663494aa71f3259cd593b95d6f40f1.jpg

El
 
Very simple,,yakobo inadaiwa alipewa jina israEl na mnyazi mungu,El ni jina la mungu aliekuwa akiabudiwa na wakaaji wa caanan kabla hata ya ujio wa Abraham caanan,
Swali ni iweje yakobo anapewa jina la mungu wa kipagani wa caanan?

Aliitwa Israeli, na sio EL unayotaka wewe!

Unaitwa Elungata, sio 'ngata' ambayo kikwetu ina maana ya hovyo... hata 'lunga' ina maana yake.

Kama hoja yako ni ya kuungaunga namna hiyo, I rest my case.

Cheers [emoji1635]
 
Hiyo tafsiri yako ni batiri. Israel ni neno moja kasome kitabu cha MWANZO 32 utapata maana yake.
Hvyo ulivyo tafsir ww sio kabsa ni sawa na ukienda japan utakuta watu wanaitwa KUMAMOTO wewe utaisi ni maneno mawili ila ni neno moja lenye tofauti na unayoijua ww
 
Aliitwa Israeli, na sio EL unayotaka wewe!

Unaitwa Elungata, sio 'ngata' ambayo kikwetu ina maana ya hovyo... hata 'lunga' ina maana yake.

Kama hoja yako ni ya kuungaunga namna hiyo, I rest my case.

Cheers
emoji1635.png
Unajua maana ya israel?,,,
Mtoto wa kwanza wa Abraham aliitwa IsmaEl-mungu amesikia.
Israel-mungu ameteka(conguering).
Abraham wakati akitoka Ur kuja caanan,,alikutana na mfalme na pia kuhani mkuu wa El alieitwa melkizedek,
Pia alikutana na mfalme wa wafilist alietwa Abimael,
Ni wazi watu wa caanan wakimjua El kabla hata ya ujio wa abraham caanan,
 
The name Ismael means God Will Hear and is of Hebrew origin.
 
The name Abimael is a boy's name of Hebrew origin meaning "my father is God". Colonial Americans used many Biblical
 
Unajua maana ya israel?,,,
Mtoto wa kwanza wa Abraham aliitwa IsmaEl-mungu amesikia.
Israel-mungu ameteka(conguering).
Abraham wakati akitoka Ur kuja caanan,,alikutana na mfalme na pia kuhani mkuu wa El alieitwa melkizedek,
Pia alikutana na mfalme wa wafilist alietwa Abimael,
Ni wazi watu wa caanan wakimjua El kabla hata ya ujio wa abraham caanan,

Tulia hapo hapo!

The name Israel, means Mungu ameteka... the Conqueror ( Wara-Wara the Kankara).

Na hii ni baada ya Yakobo kupata na yule malaika aliyemtokea, imeandikwa.

Kwa mifano yako hiyo, iweje huko juu ulisema 'El' ni jina la kipagani?
 
Sasa sijui huelewi nini,maana hata simple task kama kusearch neno El huwezi.
El ni jina la mungu wa jamii ya caanan.
 
Sasa sijui huelewi nini,maana hata simple task kama kusearch neno El huwezi.
El ni jina la mungu wa jamii ya caanan.

Hoja yako inaelea, kwa lugha nyepesi hauna hoja.

Kama El ni Mungu wa jamii ya Canaan, kwanza ulipaswa kujua Canaan ni kitu gani!

Pili kwa maana hiyo hiyo, Mungu huyu niliyemrejea mimi (Biblia) ndo wewe pia umemtambua.... sijui unamtofautisha vipi na huyo unayesema wewe ni wa Canaan?

Kwahiyo hata hao uliowarejea mwenyewe kina Ismael na Abimael, na mfano wangu wa Israel... kama hapa tunaongelea Mungu mmoja basi tuchague kati ya Mungu niliyemrejea mimi au huyo ‘mungu’ wa Canaan!

Kama hatuelewani tuishie hapa hapa Mkuu.
 
Caanan ni province ya Egypt kingdom enzi hizo
 
Back
Top Bottom