choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,577
"Jomoni" ngoja nipite kwanza
Huyu jamaa sijui kocho. Simuelewag kabsa.
"Jomoni" ngoja nipite kwanza
Ameipenda comment yako hadi ameilikeHuyu jamaa sijui kocho. Simuelewag kabsa.
Hivi mtu uliyestaarabika unaweza kujadili ukabila ama dini ya mtu karne hii ya21?Kumbe ndio maana. Hawa hawanaga tofauti na wasukuma kwa ushamba na kutokujua mambo.
Ameipenda comment yako hadi ameilike
hii tv ni mali ya ccm,ni moja ya mali zilizoporwa na zitarudishwa hivi karibuni,baada ya hapo wenyewe wataijenga upyaYaani kiukweli hii channel ni sifuri
Ubora wa picha unasikitisha sana haina hata hamu kuitazama
Mnaboa kweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ule wekundu wekundu wa picha yaani hata akitangaza mdada mweupe utadhani kaungua kwa mkorogo sio kwa wekunde ule wa picha jamani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi hawa boss wao ni nani?na anaridhika tu channel kuwa ubora mbovu hivi??
Hata 3gp ina afadhali kwakweli hii ni too much nadhan itakua 2gp maana sio kwa picha zile jomoni
Mpaka najiuliza kama nayo ni tv jamani
Halafu habari zenu za kusifiya sifiya muache nendeni azam au itv mkajifunze utangazaji huko.
Wewe ni dume,jike au mchicha mwiba?"Jomoni" ngoja nipite kwanza
Anang'atwaaEti huyo nae kwao wakihesabu idadi ya watoto nae huhesabiwa.
Tangu ununue TV unasumbua!....
Nilitaka nikujib kitu ambacho hutosahauKumbe na ma punga nayo hua yanatazama taarifa ya habari? Sawa
Nilitaka nikujib kitu ambacho hutosahauKumbe na ma punga nayo hua yanatazama taarifa ya habari? Sawa
Wee mdadaNishaacha kuangalia hizo channel