Kwanini TBC 1 hairushi HD wakati wenzao UBC, KBC na hapa Tanzania Azam TV nk wanarusha HD?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,826
9,533
Kwani ni kitu gani kimewasibu TBC1 mshindwe kurusha HD kwenye chaneli zenu za TBC1 na Safari Chaneli?. Ubora wa picha ni duni sana. Hii ni chaneli ya Taifa, kutuonyesha ‘ungaunga’ kwa picha ambazo unaona kabisa zilipigwa kwa HD hamtutendei haki. Vipindi vya chaneli nyingine kama ZBC, Channel 10, UTV nk viko HD ya nguvu unapata na raha ya kutazama. Kwani nyie wenzetu mmekumbwa na nini?!!. Sitaki kuamini kwamba ni suala la Bajeti.

Kwamba Channel 10 aweze kurusha HD halafu nyie TV ya Taifa mshindwe?!, How Possible. Mbona ni kama Channel hizi hazina uongozi.

Wizara wasaidieni TBC1 waonyeshe picha zenye ubora hii ni kero kubwa. Kuna watu tunapenda kutazama Educational Programmes ambazo zinapatikana TBC ila kwa ubora huo tunaamua kuachana nayo. Badilikeni bana mnaudhi. Mheshimiwa Rais kama TBC wameshindwa tunaomba uwasaidie kubadilika. Pia, Bodi ya TBC mlioingia hivi karibuni timizeni wajibu wenu ipasavyo kuwapa wananchi matangazo ya TV yenye ubora.
 
Hata Azam, HD yao sio ya kiwango kama Cha DSTV, Azam pia "nasikia" wanalipia HD ya chini, DSTV wanalipia ya kiwango Cha juu. At first I didn't know kwamba vituo vya TV vinalipia kiwango Cha quality ya picha wanayotaka mteja wao aipate
 
Umasikini? Ubahili? Uongozi?

Screenshot_20230503-111749.png
 
Inawezekana Kuna vitu unachanganya.

Nijachojua TBC matangazo yao yanaonekana kwa high definition (HD) mfano ukiangalia vipondi Kama aridhio. Ila Sasa Kuna kipindi vya zamani ambavyo vilirekodiwa katika ubora (quality) ya chini,hivyo vikirudiwa leo mwonekano wake unakuwa ni wa low quality. TBC huwezi kuwalaumu juu ya hilo swala.

Mfano Kama huu nenda kaangalie channel ya KIX kwenye kisimbuzi Cha Azam TV. Zile movies zote za zamani quality ya picha ipo chini regardless channel inaonyesha maudhui kwa mfumo wa HD.

Kombe la Dunia la mwezi wa 11 mwaka Jana Hakuna mtu hata mmoja amewalalamikia TBC kuhusu quality ya picha kwa sababu quality ilikuwa Bora kuliko hata mechi za Azam TV.
 
Hata Azam, HD yao sio ya kiwango kama Cha DSTV, Azam pia "nasikia" wanalipia HD ya chini, DSTV wanalipia ya kiwango Cha juu. At first I didn't know kwamba vituo vya TV vinalipia kiwango Cha quality ya picha wanayotaka mteja wao aipate
TBC hawashindwi kulipia huu ubora. Walipie watupe ubora stahiki.
 
Hata Azam, HD yao sio ya kiwango kama Cha DSTV, Azam pia "nasikia" wanalipia HD ya chini, DSTV wanalipia ya kiwango Cha juu. At first I didn't know kwamba vituo vya TV vinalipia kiwango Cha quality ya picha wanayotaka mteja wao aipate
Wanamlipa nani hiyo hel ya kuonyesha HD?

Kwamba Azam TV wanapoonyesha mpira Kuna mtu wanamlipa ili quality ya picha iwe high definition (hd) Kama vile inavyoonekana au Mimi ndiyo sijaelewa?
 
Umechemsha mzee angalia vizur tbc na hizo channel za Uganda na Kenya tbc ipo vizur sana
 
Huyo jamaa itakuwa tv yake ndiyo ina shida (inaonyesha low quality) au aliangalia kipindi kutoka maktaba. Ila kuhusu TBC kuonyesha HD inaonekana vizuri sana.

Aende akaangalie pixels za tv yake kwanza,inawezekana ndiyo inamwangusha kwenye quality.
 
Hata Azam, HD yao sio ya kiwango kama Cha DSTV, Azam pia "nasikia" wanalipia HD ya chini, DSTV wanalipia ya kiwango Cha juu. At first I didn't know kwamba vituo vya TV vinalipia kiwango Cha quality ya picha wanayotaka mteja wao aipate
Ndiyo maana mechi za Uwanja wa mkapa picha zinatofautiana zikionyeshwa kati ya DSTV na AZAM Tv
 
Wanamlipa nani hiyo hel ya kuonyesha HD?

Kwamba Azam TV wanapoonyesha mpira Kuna mtu wanamlipa ili quality ya picha iwe high definition (hd) Kama vile inavyoonekana au Mimi ndiyo sijaelewa?
Ubora wa picha za DSTv ni tofauti na AZAM
 
Inawezekana Kuna vitu unachanganya.

Nijachojua TBC matangazo yao yanaonekana kwa high definition (HD) mfano ukiangalia vipondi Kama aridhio. Ila Sasa Kuna kipindi vya zamani ambavyo vilirekodiwa katika ubora (quality) ya chini,hivyo vikirudiwa leo mwonekano wake unakuwa ni wa low quality. TBC huwezi kuwalaumu juu ya hilo swala.

Mfano Kama huu nenda kaangalie channel ya KIX kwenye kisimbuzi Cha Azam TV. Zile movies zote za zamani quality ya picha ipo chini regardless channel inaonyesha maudhui kwa mfumo wa HD.

Kombe la Dunia la mwezi wa 11 mwaka Jana Hakuna mtu hata mmoja amewalalamikia TBC kuhusu quality ya picha kwa sababu quality ilikuwa Bora kuliko hata mechi za Azam TV.
Acha kutetea vitu ambavyo ubovu ambao uko so obvious. TBC 1 haina HD yoyote, news bulletin hiyo unayoitaja haina UHD wowote katazame UTV kisha fananisha HD ya TBC1.

Picha zina unga unga na ukungu Kibao.

Tuache kutetea ubovu hata kama wewe ni Mtumishi wa TBC, hakuna mtu asiejua nini maana ya HD picha hazina ubora kabisa.

Hakuna kisingizio, quality ya picha TBC1 ni mbovu vipindi vyote.

Hata hiyo ardhio unayoitetea, studio unaweza kudhani kuna ule moshi mwembamba wa entertainment stages kamoshi kwa mbali Elizabeth Mramba na Urembo wake anaonekana kama kajipaka poda mwili mzima.
 
Elizabeth Kama kajipaka poda siyo? Basi sawa.
 
HD ndiyo nini, we umeenda shuleni kuchungulia tu au? mi navyojua HD ambayo kirefu chake ni High Definition ni aina ya screen yenye resolution ya 1280x720 pixels ambayo kwa lugha rahisi ni aina ya ubora wa picha.

Ukiacha yenye screen yenye HD resolution kuna screen zingine bora zaidi ya hizo km ifuatavyo:
1. Full High Definiton (FHD) - resolution 1920x1080 pixels
2. Quad High Definiton (QHD) - Resolution 2560x1440 pixels
3. Ultra High Definition (UHD) - Resolution 3840x2160 pixels.
Sasa dogo niambie TBC itakurushiaje screen? Kingine hizo screen wenzako wameshaziacha wanatumia za kisasa zaidi km nilivyokuorodheshea hapo juu. Acha ushamba katafute sana elimu utaepuka kujiaibisha
 
Acha kutetea vitu ambavyo ubovu ambao uko so obvious. TBC 1 haina HD yoyote, news bulletin hiyo unayoitaja haina UHD wowote katazame UTV kisha fananisha HD ya TBC1.

Picha zina unga unga na ukungu Kibao.

Tuache kutetea ubovu hata kama wewe ni Mtumishi wa TBC, hakuna mtu asiejua nini maana ya HD picha hazina ubora kabisa.

Hakuna kisingizio, quality ya picha TBC1 ni mbovu vipindi vyote.

Hata hiyo ardhio unayoitetea, studio unaweza kudhani kuna ule moshi mwembamba wa entertainment stages kamoshi kwa mbali Elizabeth Mramba na Urembo wake anaonekana kama kajipaka poda mwili mzima.
acha ubishi wa kipuuzi kanunue screen yenye high quality tatizo ni screen yako. Muachage ujuaji mbuzi, nyie ni washamba wa hayo mambo hamjui hata mnachoandika
 
Kwani ni kitu gani kimewasibu TBC1 mshindwe kurusha HD kwenye chaneli zenu za TBC1 na Safari Chaneli?. Ubora wa picha ni duni sana. Hii ni chaneli ya Taifa, kutuonyesha ‘ungaunga’ kwa picha ambazo unaona kabisa zilipigwa kwa HD hamtutendei haki. Vipindi vya chaneli nyingine kama ZBC, Channel 10, UTV nk viko HD ya nguvu unapata na raha ya kutazama. Kwani nyie wenzetu mmekumbwa na nini?!!. Sitaki kuamini kwamba ni suala la Bajeti.

Kwamba Channel 10 aweze kurusha HD halafu nyie TV ya Taifa mshindwe?!, How Possible. Mbona ni kama Channel hizi hazina uongozi.

Wizara wasaidieni TBC1 waonyeshe picha zenye ubora hii ni kero kubwa. Kuna watu tunapenda kutazama Educational Programmes ambazo zinapatikana TBC ila kwa ubora huo tunaamua kuachana nayo. Badilikeni bana mnaudhi. Mheshimiwa Rais kama TBC wameshindwa tunaomba uwasaidie kubadilika. Pia, Bodi ya TBC mlioingia hivi karibuni timizeni wajibu wenu ipasavyo kuwapa wananchi matangazo ya TV yenye ubora.
Hii UBC ni HD Mungu alishukuru

USSR
 
Acha kutetea vitu ambavyo ubovu ambao uko so obvious. TBC 1 haina HD yoyote, news bulletin hiyo unayoitaja haina UHD wowote katazame UTV kisha fananisha HD ya TBC1.

Picha zina unga unga na ukungu Kibao.

Tuache kutetea ubovu hata kama wewe ni Mtumishi wa TBC, hakuna mtu asiejua nini maana ya HD picha hazina ubora kabisa.

Hakuna kisingizio, quality ya picha TBC1 ni mbovu vipindi vyote.

Hata hiyo ardhio unayoitetea, studio unaweza kudhani kuna ule moshi mwembamba wa entertainment stages kamoshi kwa mbali Elizabeth Mramba na Urembo wake anaonekana kama kajipaka poda mwili mzima.
Umeandika ki-bavicha na cha -demu tu

USSR
 
Back
Top Bottom