Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

Wanasimamia agenda ya Kutaka kuchafua amani ya nchi..!!

Bado najiuliza hio demokrasia ndio itapatikana baada ya kuliingiza taifa katika machafuko..??

Waliokaa chini na kuhitimisha njia pekee ya kulikomboa hili taifa ni kuhamasisha uhaini, wanahitaji kupimwa akili..!!
Acha kuogopa mkuu, umma umechoshwa na mwenendo wa sasa
 
Wale wanaume wa makinikia vipi jamani?mbona wanatuchelewesha kufanya maendeleo kama vipi tuwapige dushwaaa,na vipi kuhusu barua kwa waziri mkuu wa canada haikufua dafu?
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
vip memaliza vikao vya propaganda
 
Hapo ulipo unatelezesha smart phone kwa sababu ya maendeleo yaliyoletwa na ccm hiyo hiyo unayoidharau lofa we!
Hivi una akili timamu kweli wewe?
Smart phone zinatoka China, na Korea halafu kuzi import bila kutengeneza ndo maendeleo hayo? Yaani tunakuza uchumi wa mataifa mengine halafu unajigamba eti ccm imeleta imeleta maendeleo.
Stupidity at your best, ama kweli ccm ni ya misukule kabisa.
 
Back
Top Bottom