funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,070
- 31,572
Uchaguzi wa SIHA?Wamelost lakini cha ajabu nguvu ya polisi ndio inatumika katika uchaguzi

Mawakala walitolewa nje au hukusikia Lema akiongea na mawakala wakitoa idadi halisi ya kura huku idadi ya kura iliyotangazwa ikiwa imepikwa na ile video clip iliwekwa humuUchaguzi wa SIHA?
Mkuu ukweli unauma bhanaa....Hivi hiki chama cha makinikia mauaji na utekaji ndio sera mpya ya kusaidia viwanda?
Kweli, hiyo ni ya 5.Usisahau kutetea wezi wa Rasilimali zetu
Ngabu toka Dr Slaa apate ubalozi " unakazana" kweli akufanyie mipango ya ukuu wa wilaya!
HahahahahaTunasimamia mambo makubwa manne:
1. Matusi. Kama huamini basi subiri uone tutakavyokufanya kwenye huu uzi wako.
2. Ukabila. Kamanda wetu mkuu [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] alituanzishia chuki dhidi ya wasukuma kwa kuwa Magu ni wa huko, kwa hiyo tunafuata maono ya kiongozi wetu.
3. Kupinga kila kitu. Huo ndo mtazamo wetu km chama - big NO to everything.
4. Kutetea kitu chochote kilicho kinyume na sheria na matakwa ya serikali na uongozi wa nchi. Tunatetea wala rushwa, mafisadi, wauza 'sembe', wakwepa kodi, nk.
Sema jingine.
Kaaazi kweli kweliTunasimamia mambo makubwa manne:
1. Matusi. Kama huamini basi subiri uone tutakavyokufanya kwenye huu uzi wako.
2. Ukabila. Kamanda wetu mkuu [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] alituanzishia chuki dhidi ya wasukuma kwa kuwa Magu ni wa huko, kwa hiyo tunafuata maono ya kiongozi wetu.
3. Kupinga kila kitu. Huo ndo mtazamo wetu km chama - big NO to everything.
4. Kutetea kitu chochote kilicho kinyume na sheria na matakwa ya serikali na uongozi wa nchi. Tunatetea wala rushwa, mafisadi, wauza 'sembe', wakwepa kodi, nk.
Sema jingine.
Anza kwa kueleza were binafsi umesaidia vipi kuhakikisha wananchi hawauawi, kutekwa, kuteswa, kufungwa bila hukumu na maovu mengine mengi yanayofanywa na watu wasiojulikana. Ukianza hivyo mjadala utakuwa wa pande mbili hivyo utanoga, umeanzisha hoja kisha umeifunga.Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?
Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.
Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.
Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!
Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.
Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?
Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?
Bure kabisa nyinyi.
TrueKamwe hatutawaruhusu: ama zao, ama zetu!
Endelea kukazana mzee wa UKUTA!!........utawadanganya makarai lakini siyo watu makini wanaokujua!Makamanda mmekariri ukuu wa wilaya tu!
Shameful.
Kiongozi wetu ni Kamanda Mbowe. Tunasimamia uwepo wa katiba mpya, demokrasia ya kweli inayozingatia uhuru wa mtu mmoja mmoja, vikundi vya watu wenye malengo yanayofanana, vyama vya siasa, uhuru wa vyombo vya habari, haki za binadamu na uchumi shirikishi.Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?
Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.
Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.
Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!
Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.
Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?
Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?
Bure kabisa nyinyi.
Mkuu kwani mtu anaweza kusimamia kitu gani tofauti na miguu? Tusiharibiane siku asubuhi hiiHawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?
Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.
Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.
Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!
Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.
Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?
Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?
Bure kabisa nyinyi.
Tutahamia kwa mange sasa, cdm kwishneyMakamanda wamelost siku hizi
Endelea kukazana mzee wa UKUTA!!........utawadanganya makarai lakini siyo watu makini wanaokujua!
Mkuu kwani mtu anaweza kusimamia kitu gani tofauti na miguu? Tusiharibiane siku asubuhi hii