Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

Inategemea da mange kasemaje, basi hapohapo na makamanda wote wanadakia...kwasasa (kwa mujibu wa da mange) mambo yote ni tarehe 26/4 - maandamano ya kufa mtu hadi ngosha akimbie nchi!!!.
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
MBONA UNAJULIZA NA KUJIJIBU MWENYEWE
 
Pointless tupu !
Ma diaspora mnaorudi bongo nadhani mlikuwa mashogaa siyo bure.
Umekaa kabisa kuandika thread ya kishamba kiasi hiki, njaa imekuuma kiasi hicho Hadi unajipendekeza kwa chama cha hovyo kama ccm.
Magufuli hawezi kulingana na Kenyatta hata kidogo.
Huna hata aibu, mwambie Lipumba akajiapishe national stadium kama alivyofanya Odinga, ndo utajua tofauti ya Magufuli na Kenyatta.
Umri huo bado unanunuliwa chakula na wazazi wako utatoa wapi akili wewe?
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
meandika Mwandishi Dotto Bulendu
Kabla hatujaviona vyama vyingi ni kero na vinachelewesha Maendeleo tujiulize kwanza maswali yafuatayo;

1.Ubinafsishaji wa mashirika ya umma kwa bei ya kutupwa kulifanyika kwa sababu ya vyama vingi hivyo tuhakikishe vinakufa?

2.Kufa kwa reli ya kati kulisababishwa na vyama vingi hivyo inabidi tuhakikishe tunavifuta?

3.Kuuzwa kwa bei ya hasara kwa benki ya NBC kulitokana na vyama vingi hivyo tuhakikishe vinakufa ili tuirejeshe benki yetu?

4.Kuuzwa kwa hisa za shirika la simu la TTCL kwa bei inayotajwa ya hasara kulitokana na vyama vingi? na hivyo inabidi tuhakikishe vinafutika?

5.Kufa kwa viwanda na mashamba makubwa yaliyoasisiwa tangu wakati wa ukoloni kulisababishwa na vyama vingi vya siasa na hivyo tuhakikishe vinakufa?

5.Shule za Serikali kufanya vibaya na sasa wazazi wenye uwezo hawawapeleki tena watoto wao kwemye shule za serikali kumesababishwa na hivi vyama vingi hivyo tuhakikishe hakuna Diwani wala Mbunge wa upinzani?

6.Mikataba ya hovyo na hasara kwenye sekta ya madini iliyosababisha vifo vya watu huko Nyamongo,Kahama,Nzega n.k kulisababishwa na vyama vingi hivyo tuhakikishe halmashauri zetu,ndani ya bunge hakuna mwakilishi kutoka vyama vya upinzani?

7.Tanzania kufanya vibaya kwenye medani ya michezo kumesababishwa na hivi vyama vingi na hivyo yeyote anayeunga mkono vyama vya upinzania anatakiwa kuitwa siyo mzalendo?

8.Viwanda kutangaza kufunga uzalishaji kutokana na kukosekana kwa sukari kumesababishwa na vyama vingi vya siasa?

9.Tangu mwaka 2015,vijana wengi wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu kukaa mtaani bila ajira kumesababishwa na vyama vingi hivyo tuhakikishe vinakufa ili ajira zifunguke?

10.Nyongeza ya misharaha kwa watumishi wa umma imekuwa inasuasua kutokana na vyama vingi vya siasa?

11.Wafanyakazi hewa serikalini walioisababishia hasara kubwa serikali kwa muda mrefu ni kutokana na vyama vingi na hasa mikutano ya vyama vya siasa?hivyo tufute mikutano yote ya vyama vya upinzani ili kuhakikisha hakuna watumishi hewa?

12.Shirika la ndege ambalo miaka 35 iliyopita lilikuwa na ndege zaidi ya kumi,zikatoweka mpaka kubaki na ndege chini ya tano,kulitokana na hivi vyama vya upinzani?hivyo tuvizike ili shirika la ndege liwe na ndege za kutosha?

13.Watu wakiwemo wabunge na mawaziri waliwahi kujigawia pesa za umma kutoka akaunti ya Escrow na kuisababishia serikali hasara,hiyo ilitokana na Uwepo wa vyama vya upinzania hivyo tuvifute ili Escrow isije jirudia?

14.Kuliibuka tuhuma za Rushwa za EPA na Meremeta,tuhuma hizi zilitokana na vyama vingi?hivyo tuvifute ili tusipate tena tuhuma za Epa na Meremeta?

15.Kuna kiongozi akijua kabisa yeye ni mtumishi wa umma,alijiuzia mgodi wa Kiwira tena kwa bei ya hovyo,alifanya hivyo kwa sababu ya uwepo wa vyama vingi hivyo tuhakikishe hakuna cha diwani wala mbunge wa kutoka upinzani kwenye halmashauri zetu na bungeni?wabaki wa chama kimoja?

16.Kuna waziri aliwahi ingia mkataba na kampuni ga Barrick kwenye mgodi wa Buzwagi ,je huyo waziri aliingia mkataba huo kwa sababu ya hivi vyama vingi?

Najaribu kuwaza tu kwa kina.
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
Ccm inasimamia nini?

Makinikia,chaguzi za MARUDIO,kufuta upinzani,vitisho, uongo (uchumi unapaa,mishahara kuboreshwa),bomoa bomoa (kukomoa wasiomuunga mkono),au vurugu na chuki?

Nasikia porojo n.a. sinema za halaiki tu za utumbuaji!
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
Naona unaipenda Siasa sana, lakini... Unajazba sana.
 
Wanasimamia agenda ya Kutaka kuchafua amani ya nchi..!!

Bado najiuliza hio demokrasia ndio itapatikana baada ya kuliingiza taifa katika machafuko..??

Waliokaa chini na kuhitimisha njia pekee ya kulikomboa hili taifa ni kuhamasisha uhaini, wanahitaji kupimwa akili..!!
Machadema zaidi ya mapungu, sasa hivi wanaongozwa na kahaba wao mmoja, kila anachoandika mtandaoni ndio ajenda ya machadema.
 
Tunasimamia mambo makubwa manne:

1. Matusi. Kama huamini basi subiri uone tutakavyokufanya kwenye huu uzi wako.

2. Ukabila. Kamanda wetu mkuu [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] alituanzishia chuki dhidi ya wasukuma kwa kuwa Magu ni wa huko, kwa hiyo tunafuata maono ya kiongozi wetu.

3. Kupinga kila kitu. Huo ndo mtazamo wetu km chama - big NO to everything.

4. Kutetea kitu chochote kilicho kinyume na sheria na matakwa ya serikali na uongozi wa nchi. Tunatetea wala rushwa, mafisadi, wauza 'sembe', wakwepa kodi, nk.
Sema jingine.
Kama watanzania tegemezi ni asilimia 90, haishangazi kukutana na maandishi kama haya!
 
Kwani CCM MIAKA zaidi ya 60 MADARAKANI imesimamia nini zaidi ya UMASKINI Kwa watanzania?
Hapo ulipo unatelezesha smart phone kwa sababu ya maendeleo yaliyoletwa na ccm hiyo hiyo unayoidharau lofa we!
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
hahahahahahahahahahahahahahaahahahahaha ........................balaaaaa kubwa sana
 
Siku hizi wananichanganya mno. Niwazoea walikuwa wasema vitu vyenye mashiko Ufisadi hadi wengine wakaitwa tumbili wasema kweli wizi wa Iptl nk leo issue kubwa ni risasi, uhuru wa kuandamana. Sijajua ujue waelewe hivi hata kama bunge likipigwa chini kwenda laivu lkn mkono tunazipata zote za mjengoni waibue uozo wa serkali wizi wa ngozi nyeupe si mbona tuko nao lkn hili kutafuta public sympathy. Ngoja wagalagazwe. Kama yule wa Magogonu anatakeleza sera zao waende tena ahead of him mbona tunawakubali. Ila si hii ya Da mange hii ni cdm nyingine
 
Inaonekana huna uelewa wa kutosha kuhusu Historia, ambayo ina kawaida ya kujirudia. aina ya watu waliopo
Tanzania siyo mara ya kwanza katika historia. ndiyo, ni waoga, wana ubinafsi. lakini anapotokea mtu wa aina ya JPM, anayetoa maneno makali ya kukatisha tamaa, anayewabagua watu waziwazi, mfano anawatetea watu wa Mwanza wasibomolewe, kisa serikali ya CCM ni yenye "Huruma" wakati keshabomolea maelfu kwa maelfu huku Dar na kwingineko.

Mtu aina ya JPM, ambaye ame-preside over one of the biggest economic flops in the Country ever, kiasi kwamba maisha ni magumu sana, mtu anayesimamia mauaji ya watu wengi, kutekwa na kuteswa. unapokuwa na ingredients kama hizi, ni wazi kwamba mambo yanaweza kubadilika kabisa kinyume cha matarajio.

Hiyo CHADEMA unayoishangaa, for whatever reason, kuwa-provoke jamaa watoe povu ndio ucheke na kufurahi, unachofanya KINATIA AIBU. Kwa sababu gani? kwa sasa CHADEMA ndio chama kinachoongoza mapambano na hii serikali katili, kandamizi na ya wauaji. CHADEMA wana mapungufu mengi sana, lakini ndio tunao hao. akina Kitila Mkumbo walijinasibu kuanzisha chama cha ukweli, kinachothamini Azimio la Arusha, wamewauza watanzania. Akina Dokta Slaa waliowahi kutamba, sasa wamenunuliwa kwa bei rahisi kabisa na wanamtumikia kafiri. same for Lipumba. Mnyamwezi mpumbavu kabisa.

Hata kama wapo akina Kakobe, akina Mange Kimambi, hii yote ni kuonesha kwamba mapambano yanasambaa sehemu mbalimbali za jamii, na itakuwa vigumu sana kwa serikali hii katili kujaribu kuua kila penye resistance.

Lakini pia kumbuka sasa hivi mauaji mengi yanaendelea. CHADEMA wame-sustain so many casualties. Ni kipindi cha msiba. Na kwa heshima ya kiafrika, kama bado unayo angalau a trace of it in you, inakataza kutoa kauli cheap kama hizi unazotoa
 
Umemfunga mpinzani wako miguu na mikono then upo ulingoni unamwambia apigane ataweza kweli?
 
Kukosa akili ni kitu kibaya sana, kuna wakati hata jinsia yako unaisau au kutokuwa na uhakika nayo.
 
Back
Top Bottom