BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,028
Naona umetoka kwenye kifungo cha bani mzeeMakamanda wamelost siku hizi
Naona umetoka kwenye kifungo cha bani mzeeMakamanda wamelost siku hizi
Naona umetoka kwenye kifungo cha bani mzee
Tutahamia kwa mange sasa, cdm kwishney
Unajidanganya kwa tabia ya mbuni!Nani anayenijua mimi?
Unajidanganya kwa tabia ya mbuni!
Ilikuwa na office kila mtaaIvi kweli CCM wakati ikifiksha miaka 20 ilikua haina ofisi?
Wakati unamchochea Mbowe na operesheni yenu ya UKUTA ndipo " ulipofahamika" hiyo fake id isikutoe ufahamu mkuu!Nyie ndo mmedanganyika.
Hakuna anijuaye humu.
Wakati unamchochea Mbowe na operesheni yenu ya UKUTA ndipo " ulipofahamika" hiyo fake id isikutoe ufahamu mkuu!
You wish!
Na utacheka sana kirusi!Unachekesha.