Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,988
Reaction score
142,398
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
 
Miguu
 
Sasa unatuuliza sisi ili tukupe majibu.. si ungeeda pale ufipani wakakupe majibu ya maswali yako
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
Ngabu toka Dr Slaa apate ubalozi " unakazana" kweli akufanyie mipango ya ukuu wa wilaya!
 
Tunasimamia mambo makubwa manne:

1. Matusi. Kama huamini basi subiri uone tutakavyokufanya kwenye huu uzi wako.

2. Ukabila. Kamanda wetu mkuu [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] alituanzishia chuki dhidi ya wasukuma kwa kuwa Magu ni wa huko, kwa hiyo tunafuata maono ya kiongozi wetu.

3. Kupinga kila kitu. Huo ndo mtazamo wetu km chama - big NO to everything.

4. Kutetea kitu chochote kilicho kinyume na sheria na matakwa ya serikali na uongozi wa nchi. Tunatetea wala rushwa, mafisadi, wauza 'sembe', wakwepa kodi, nk.
Sema jingine.
 
Usisahau kutetea wezi wa Rasilimali zetu
 
Back
Top Bottom