jicho sikio
Member
- May 12, 2017
- 58
- 26
hapa tunahitaji great thinkers, mipasho yako peleka kwenye vipeperushi vya UDAKUHawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?
Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.
Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.
Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!
Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.
Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?
Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?
Bure kabisa nyinyi.