Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

Kwani CCM MIAKA zaidi ya 60 MADARAKANI imesimamia nini zaidi ya UMASKINI Kwa watanzania?
Haujaulizwa CCM inasimamia nini kwa nini uanze kufananisha au kujibu kuhusu CCM? Utatoka nje ya madaa.

Chadema inasimamia nini?
 
Makamanda wamelost siku hizi
Hawa " waliolost" ndio kila kukicha tunasikia wamehamia chama fulani kuunga mkono juhudi za.....

Wakifika huko wanawakuta mpo mpo tu wanapita katika chaguzi kwa vishindo
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
wanasimamia vidole huku wakikupumulia kichogoni
 
Hawa " waliolost" ndio kila kukicha tunasikia wamehamia chama fulani kuunga mkono juhudi za.....

Wakifika huko wanawakuta mpo mpo tu wanapita katika chaguzi kwa vishindo
wakiwapokea waliolost wanafanya sherehe ya kitaifa
 
Sasa hivi ni nguvu ya Umma maana hata CCM...hawana wanachosimamia zaidi ya kununua Madiwani na wabunge wa upinzani.

Wamesahau sera zao kwa ujumla wamepoteza dira .

Hakuna viwanda tena,Ajira mpya hakuna,blaah blaah kibao .
 
Pesa za walipa Kodi zinanunua watu kama bidhaa?
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
Mkuu sasa hivi Mwenyekiti ni Mange. Mbowe mwenyewe anapokea maelekezo kila siku kutoka kwa huyo kahaba
 
Kwani kuna wenyeviti wangapi chadema si mmoja huyo ndio anayeongoza chadema
 
Wanasimamia agenda ya Kutaka kuchafua amani ya nchi..!!

Bado najiuliza hio demokrasia ndio itapatikana baada ya kuliingiza taifa katika machafuko..??

Waliokaa chini na kuhitimisha njia pekee ya kulikomboa hili taifa ni kuhamasisha uhaini, wanahitaji kupimwa akili..!!
Chama chao chenyewe hakina demokrasia halafu wanalilia demokrasia ambayo hawajawahi kuiishi
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
Wanatafuta haki za binadamu kwanza na uhuru wa kujieleza. Pia tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.Unayoyataka wewe baadaye.
 
Hawa wanaojiita chama kikuu cha upinzani siku hizi wanasimamia nini?

Manake naona wapo wapo tu. Hawaeleweki.

Eti wanampinga Magufuli kwa wanachodai ni 'udikteta' wake halafu wanamuunga mkono Uhuru Kenyatta kisa tu eti Raila Odinga ni rafiki wa Magufuli.

Halafu hapo hapo mambo wanayompingia Magufuli huyo Kenyatta naye anayafanya!

Si ajabu kama Magufuli angekuwa ni rafiki na Kizza Besigye CHADEMA nao wangemuunga mkono Museveni.

Sasa hivi hata haijulikani nani anakiongoza hicho chama. Ni Mange? Mbowe? Mashinji? Sugu? Lema? Lowassa? Sumaye? Nyalandu?

Nyie makamanda, nani kiongozi wenu siku hizi?

Bure kabisa nyinyi.
kwani ilikuwa inasimamia nini siku hizo?
 
'Reasoning capacity' ya Chadema kwa sasa inamtegemea Mange Kimambi. Udaku wa huyu dada ndio sera za Chadema. Tunawaomba Chadema mrudi enzi za Dr. Slaa siyo huu upuuzi mnaofanya kwa sasa wa kusubiria matukio. Wananchi hatujui mnasimamia nini.
Na Mange katuambia kuwa wewe ni mchicha mwiba ndiyo maana hujitambui.
 
Back
Top Bottom