Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

Sina Kazi mkuu Ajira rais wako si kasitisha Kazi yangu ni hii tu mpaka Ajira zitakapotoka...

Kwi...kwi...kwi.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake!
Jamani stroke.

Laiti ungejua, usingetamka hivyo....
 
HuUOTE="stroke, post: 19253191, member: 90498"]Hiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake![/QUOTE]
Huna aibu wewe
 
Hahahahahaha...!!! Ngoja nisubscribe huu uzi aisee...!! Naona wafia chama JF, Magu kawafanya mbaya.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Tawi la ccm mitandaoni

Jukwaa hili ni tamu mno!
Haki vile Long live jf
Nimekusoma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…