Mkuu unamaanisha kuwa ukiwasameee watu wa makosa haya kuwa na wewe umeshazoea kufanyiwa?Watu wakikubaka wewe uteweza kuwasamehe??kama jibu ni ndio basi hiyo itakuwa ni michezo yako uliyokwisha izoea kufanyiwa.
Ila magu anawatoto na kawasameeInaonekana huna mtoto
Angelawitiwa wako sijui kama ungeandika utumbo wako huu
Hihihihihihihi!akiingia Lowasa madarakani mwaka 2050 atamsamehe huyo mlawiti na mbakaji.
Mkuu unahitajika ukuakiingia Lowasa madarakani mwaka 2050 atamsamehe huyo mlawiti na mbakaji.
Usikubali kuwa mdhamini wa Mwanasiasa, ona Sasa yaliyotokea!Mkuu, hivi kuna kazi nyingine unafanyaga? Mbakaji na Mlawiti utamsameheje?
Hahahah mbavu zangu jamani!Lowassa tu ndo anweza samehe wabakaji na walawiti.
Si katika viongozi wanaofuata sheria.
Te te teMkuu, hivi kuna kazi nyingine unafanyaga? Mbakaji na Mlawiti utamsameheje?
Mkuu njoo haraka uku mambo yameshaharibikaHiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake!
Muwe mnaweka akiba ya maneno..!Lowassa tu ndo anweza samehe wabakaji na walawiti.
Si katika viongozi wanaofuata sheria.
Te te te teMkuu hebu kuwa serious
Huyo jamaa ana kesi ya ulawiti wa watoto wetu..Tena anafaa aozee jela milele
Hilo kosa alilofanya halipaswi kuvumiliwa kwenye jamii yetu
Avune alichopanda
Na wewe kama unammisi babu seya mlawiti unatia shaka
Uliandika ukweli. ...Mungu hashindwiNdio hivo kaka,sote tumemkumbuka ila ndo hivo amewaudhi wenye '' nyumba'',ila Mungu mkubwaHuwa Hashindwi na kitu
Akiba ya maneno muhimuMkuu, hivi kuna kazi nyingine unafanyaga? Mbakaji na Mlawiti utamsameheje?
Siamini kama 2050 imefika na Lowasa ndo yuko madarakaniakiingia Lowasa madarakani mwaka 2050 atamsamehe huyo mlawiti na mbakaji.
Njoo uone hukuMkuu ameshaexhaust remedies zote! Mpaka mahakama ya rufani imemtia hatiani! Maamuzi ya mahakama ya rufani huwa sio ya kubeza mkuu, ingawa nao ni binadamu ila wale wazee huwa wanatulia sana wakitoa maamuzi yao! Tuache siasa, hazina faida!
Ukawa!Hiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake!
Ulijibu vyemaDuniani hakuna haki kaka haki iko mbinguni,
Mungu ndiye anajua amempangia nini babu Seya km ni wa kutoka basi atatoka km ni wa kuozea jera basi ataozoea huko yote yamepangwa na Muumba
Akiba ya maneno muhimuHiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake!
OoopsKesi ya wizi wa pesa inasameheka coz pesa inatafutwa lakini so heshima dignity ya mtu once destroyed haitakuja irudi na ndo sababu hatuwez kumsamehe babu seya
Af na wewe katika watu wote dunian hapa umekosa wa kummic mpk ukammic huyo mlawiti wa watoto.....
Te te only Lowasa can!Lowassa tu ndo anweza samehe wabakaji na walawiti.
Si katika viongozi wanaofuata sheria.