ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Ili asamehewe jitokeze uwe unampa kile anapenda ili watoto wetu wawe salama.Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..
Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .
He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.
Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.
Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.
Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.
Nimekumiss sana Babu Seya..
Ni kweli kabisa.Duh.......sema maneno ya mtaani yanakuwa kwa kasi kuliko ukwel wenyew
Mama yko na mke wako si wapo? Au akutigopesa wewe.....Ili asamehewe jitokeze uwe unampa kile anapenda ili watoto wetu wawe salama.
Tawi la ccm mitandaoni
kuna yule politician aliahhidi kwenye kampeni ya urais kuwa akishinda atamtoa na atamleta al marhun Balali, nilimpigia kura lakini hazikutosha, nasubiri 2020Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..
Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .
He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.
Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.
Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.
Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.
Nimekumiss sana Babu Seya..
Hivi yale naneno ya kitaa, kusema alishea ama kula sahani moja na mukulu, yaani alikuwa anatizamia anapotoweza mkubwa, na yeye anachovya! Kunaukweli wowote?Mkuu ameshaexhaust remedies zote! Mpaka mahakama ya rufani imemtia hatiani! Maamuzi ya mahakama ya rufani huwa sio ya kubeza mkuu, ingawa nao ni binadamu ila wale wazee huwa wanatulia sana wakitoa maamuzi yao! Tuache siasa, hazina faida!
Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..
Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .
He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.
Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.
Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.
Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.
Nimekumiss sana Babu Seya..
Jibu la Swali lako ultimate kwa watoto waliofanyiwa vitendo vya kunajisiwa na wazazi wao. Jiepushe na udhanifu bila kuwa na taarifa sahihiWakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..
Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .
He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.
Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.
Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.
Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.
Nimekumiss sana Babu Seya..
Weka akiba ya manenoMkuu, hivi kuna kazi nyingine unafanyaga? Mbakaji na Mlawiti utamsameheje?
Mangapi unamkosea Mungu na anakusamehe?Hiv kama mtoto wako wa miaka saba angekuwa anamyonya sehemu za siri babu Sea na wewe ukashuhudia live ungemsamehe?
Baba yetu namwita yeye mfalmee, sinung'uniki sina viatu wengine hawana miguu,si Kazi yako ni ya mamani. [HASHTAG]#TunafukuaMakaburi[/HASHTAG].Mkuu, hivi kuna kazi nyingine unafanyaga? Mbakaji na Mlawiti utamsameheje?
Mkuu hebu kuwa serious
Huyo jamaa ana kesi ya ulawiti wa watoto wetu..Tena anafaa aozee jela milele
Hilo kosa alilofanya halipaswi kuvumiliwa kwenye jamii yetu
Avune alichopanda
Na wewe kama unammisi babu seya mlawiti unatia shaka
akiingia Lowasa madarakani mwaka 2050 atamsamehe huyo mlawiti na mbakaji.
Hiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake!
Lowassa tu ndo anweza samehe wabakaji na walawiti.
Si katika viongozi wanaofuata sheria.
Muulize Lowassa atakujibu.
Muache akili ndogo hizi. Ni sera ya CHADEMA 2015 kumtoa Babu Seya na Kumleta Balal.
Hili jukwaa ni tamu mnoKama angelawiti mtoto,mdogo au ndugu yako aliye Umri wa Shule ya Msingi pia ungetaka asamehewe?
Teknolojia na Mungu ni vitu vya kuogopa sanaakiingia Lowasa madarakani mwaka 2050 atamsamehe huyo mlawiti na mbakaji.
Mkuu mtoa mada kumbe alikuwa sahihiSiamini kama huu ndio mwisho wako wa kufikiri